Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
- Thread starter
-
- #61
Sitaki kusema mengi sana ila nina namba yako wewe ilhali sina namba ya bosi wa TMT. Sijui hii unaitafsiri vipi but Mimi naiona kama heshima kubwa kwako kuifadhi namba yako wakati hata sikujui na wala sikupigiiagi. Its more than respect.We have some differences, but I have to admit this thread is a master piece!
Japo kuna sehemu tutapingana (I know you know it), but the rest of this thing is a master class!
You fall in the same class as my tmt brother!
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mtoa mada mi ni mmoja kat ya wale pure introverts. I am suffering from autism, depression, antisocial, schiziophrenia, Autotelic, spirituality and so many (mental illness). .
genes (DNA) na mazingira yanachangia, kwa uelewa wangu.Is genius born or made?
Kwa unamaanisha it may be both.. Kwenye DNA wengi tutaelewa haraka but pale kwenye mazingira ndio utoe kidogo ufafanuzi mkuu?genes (DNA) na mazingira yanachangia, kwa uelewa wangu.
All is well chief!Sitaki kusema mengi sana ila nina namba yako wewe ilhali sina namba ya bosi wa TMT. Sijui hii unaitafsiri vipi but Mimi naiona kama heshima kubwa kwako kuifadhi namba yako wakati hata sikujui na wala sikupigiiagi. Its more than respect.
Na kama ulikuaga unikubali tafadhali anza Leo though sio lazma kumkubali mtu but wewe uanze Leo maana the respect I have for you is Cagonokasibility. I'm always humble and humane.
So don't underestimate this.View attachment 744896
kuna ka-article flani nilikasoma, kuhusu utafiti wazungu walifanya kwenye hiyo kitu ya genius kuwa born or made.Kwa unamaanisha it may be both.. Kwenye DNA wengi tutaelewa haraka but pale kwenye mazingira ndio utoe kidogo ufafanuzi mkuu?
Ni kwa namna gani mazingira yanachangia mtu kuwa genius?
😀 😀 😀Kuna hawa vijana wawili humu jf ambao ni hatar Sana. Mshana Jr na The Bold je wako kundi gani maana huwa duh hawafai kabsaa thread zao ni noma
Ndio nikitu unachoweza kutengeneza mapema tokea mimba kuzaliwa malezi na makuzi, kila mtu amezaliwa akiwa na akili ziro lakini hukua na kuongezeka nakupanuka na kuzidi kiwango kutokana na mazingira ya makuzi na malezi. So kwa kua mimi mazingira hayakuruhusu ndio maana sikufikia kiwango cha akili nyingi, ila ninao uwezo nia na sababu kwa mwanangu kua hivyo.Je ni kitu kinachoweza kufanyika.. ? genious are naturally born or made?
kuna ka-article flani nilikasoma, kuhusu utafiti wazungu walifanya kwenye hiyo kitu ya genius kuwa born or made.
walichukua identical twins, ambao gene content yao inafanana, then wakatenganishwa wakiwa bado wadogo, kwa maana kwamba bado wako kwenye umri ambao hawajawa na personality zao zinazojitegemea. mmoja aliwekwa kwenye mazingira magumu kuliko mwenzake, na matokeo yakaonesha huyo aliyekuwa kwenye mazingira magumu hata IQ yake ilikuwa ndogo kuliko ya mwenzake.
Kuna "highly intelligent" hawa ni magenius wenye akili kubwa na akili zao huwa ziko busy sana kuconcertrates na kitu kimoja specifically na intelligent wao akili zao ziko huru kufikri multiple things na wanafit vizuri Kwenye social world.Kasome tena vizuri..kwa taarifa yako matapeli wengi wana IQ kubwa sana ndo maana wanauwezo wa kuwatapeli.
hee haya mkuu,binafsi nimekuelewa usemi wako ila mtoa uzi atoe uthibitisho,huyo mwenyewe hana jipyaWapo! Baba mwenye nyumba aligundua ili kumaliza wizi suluhisho ni kujenga ukuta, nafikiri sasa yuko kwenye mpango mkakati wa kuzungusha ukuta nchi nzima kulinda rasilimali vitu na rasilimali watu za nchi hii baada ya kufanya upembuzi yakinifu uliopelekea mchakato mkubwa sana kwa kiwango cha lami!
Anɗ they said... that guy "the real kanye" is dead!?Genius huwa wako anticlockwise na mambo mengi sana ya kijamii huwa wanaishi tofauti na jamii yao ndio maana hawaeleweki kirahisi na wao uishia kujitenga na jamii. Maana they are introvert.
Hivi Karibuni kumeibuka mjadala mkubwa sana huko majuu baada ya maprofesa kugawanyika kuhusu Kanye West kwamba ni genius au ni mwehu kutokana na vitu anavyovifanya na kuviongea..aliwaambia watu wachague nyimbo mbaya zaidi Duniani na atazigeuza kuwa nyimbo za kuuza album yake..watu wakachagua ngoma tatu then akazifanyia uchawi wake zikawa ndo best kwmeye album yake ya famous.
Mbali na hayo kuna vitu anavisema vinaashiria jamaa yuko ahead of our time. Yaani anaishi future.
Kanye magharibi au kanye West.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] da sio poaNaona kama kuna ukweli asilimia kubwa
Vipi magufuli na trump wanakosa kweli hilo kundi la 2, maana kama wa kwetu "(jpm) anahesabu mpaka dagaa ziwani
Huo Si ndio utapeli wenyewe!! Au
Mkuu na mimi usisahau kunitag...maana.......kuna sehemu ume touch kama unamsasambua mtu....Ahahaha! Ndio maana hata huu Uzi haunogi kumbe tulisahau kukutag dokta dokta manyaunyau.
Inashangaza watu wanaendesha Uzi wa kipuuzi then nyuzi elimishi kama hizi wanazigwaya.
Nimecheka.....Naona kama kuna ukweli asilimia kubwa
Vipi magufuli na trump wanakosa kweli hilo kundi la 2, maana kama wa kwetu "(jpm) anahesabu mpaka dagaa ziwani
Huo Si ndio utapeli wenyewe!! Au
Solution ipo mkuu you need psychotherapy, na dawa ambazo ni mood stabilizer pia antipsychoticsBipolar disorder inanisumbua I wish one day uje na solution may b unaweza saidia na wengine