Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

Nope hii itakufanya uwe intelligent sana. Ku master kitu flani.. lakin genius is another level, it is beyond imagination.
 
Kuna mtu mmoja umemtaja aisee,subiri madalali wake.
Ila umeongea kweli tupu. Obama naye ameweza ku survive kwa ujanja ujanja tu. Ukiondoa hao wawili hapo juu,wengine nawatambua kwa facts zao tu.
Uzi umesimama sana nimejifunza kitu hapo thanks brooh
 
Hahahaha...mkuu kumbe mimi ni genius, kwa sababu kila siku nawaza kitu kimoja tu kuitoa ccm madarakani,halafu huyo brother wa forex aliumbuliwa na My Son drink water member wa JF anayeandika topic nyingi kwa grammar English.
 
Mimi labda sielewi,hivi mtu akiwa na akili nyingi tu kwenye jambo fulani anakuwa 'jiniasi' bila kufanya uvumbuzi wowote wenye kusaidia maisha ya binadamu?
Maana watu wengi huwa wanajisema wapo kwenye kundi hilo simply kwa kujua hesabu tu na kuwa wakimya wakati hawawezi kutatua changamoto zinazokabili jamii zao zaidi ya kusoma mavitabu magumu.
Jamani,kuwa kama akina Einstein sio mchezo !
 
Umeeleza kijanja janja sana, hivyo basi una kazi ya ziada kutuaminisha kwamba hujatutapeli kwa utafiti wako huu...mwisho naomba kujua kama baba nanihii anaangukia kundi gani?
Mtapeliwa mjanja mjanja tu.Katepiliwa mpaka hajui trillion 1.5 imeliwa vipi
 
Ndiyo maana Africa tuna uhaba wa problem solvers.
 
Kwenye hili kundi wanakaa matapeli pia Kariba ya brother wa Forex n.k sijawahi kuona katika maisha yangu tapeli asie jua kupachika maneno sahihi na matamu kwenye maandishi au maneno yake. Sijawahi kumuona! Mtaji wao ni maneno yake matamu.
Hahaha! Unajua ninapenda kusoma maandiko ya watu wa aina hiyo, na nikisoma huwa natabadamu then nasema kuna watu wamenizidi sana kifikra.
 
Hivi Tanzania hakuna hata mtu mmoja aliewahi kutokea mwenye trait za genius?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…