Hii ndio Sababu ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

Wakuu mwenye kutoa huduma ya kutotolesha (incubator) makao makuu tuwasiliane, ninakusanya idadi nzuri ya mayai ya kienyeji nataka niyageuze kuwa kuku...
Hakikisha hayakai sana mkuu maana yanayofaa kutotoleshwa yanatakiwa yasizidi siku 7 toka kutagwa yakizidi kuna uwalakini wa kugeuka kuwa kuku
 
Vipi dagaaa chenga unauza je? Suala sio idadi ya kuku, huo ulikuwa mwanzo na mpaka sasa nimefikisha kuku 20 pia naendelea kununua
 
mimi nilishinda na ilianza na kuku 35 mwaka jana leo nina kuku 118 na vifaranga 86 usirudi nyuma japo changamoto za vifo na magonjwa usikatishwe tamaa nyanyuka endelea changamoto ni somo kwako!! incubator uliyonayo inatakiwa ilete faida UNAWEZA
 
Shida wafanyakazi ndugu mwezi wa tatu nilinumua kuku25 jogoo wakiwa saba mpaka inafika July nilikuwa na vifaranga wa umri mbali mbali 93, lakini mfanyakazi akaondoka, ilibidi kuku niwatawanye kwenye miji saa hii sijui hata wako wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…