Hii Ndio Safari ya Mwisho ya Yanga CCL

Hii Ndio Safari ya Mwisho ya Yanga CCL

Binafsi, labda Al Ahly. Hao wengine wapo ambao walishalambwa na Yanga.
Al Ahly huyu aliocheza jana na simba au mwengine? Mimi sio Yanga ila Kwa uchezaji wao wa sasa wale Al Ahly walikuwa wanapigwa week nzima game ya jana ile yani 7-0.

Mimi ni Simba ila bila unafiki Simba ya sasa iko slow sana kwenye ushambuliaji na speed ya kuelekea langoni wamaliziaji hakuna na magoli yao yote yameegamia kwenye kubahatisha zaidi na uzembe wa timu pinzani. Yani goli hulioni linavyotafutwa linatokea tu kama zali.
 
Labda tukupe somo kidogo kuhusu upangaji wa timu kwenye hatua ya makundi..
Timu zilizoingia makundi ni kumi na sita (16) ambazo zinapangwa kwenye poti nne tofauti kutokana na ranks ilizonazo kwenye msimamo wa timu bora Caf,Sasa ukiangalia hapo Yanga ipo poti namba mbili(2) kwa maana hiyo sasa watakapo panga makundi kutakua na makundi manne yenye timu nne nne,Hivyo basi kila timu iliyopo kwenye poti husika itakutana na timu moja moja kutoka kwenye mapoti mengine yani mfano timu ipo kwenye poti namba mbili ni lazima ikutane na timu moja kutoka poti namba moja,kutoka poti namba tatu na pia kutoka poti namba nne..
Hapo ndio itakua imekamilisha idadi ya timu nne kila kundi..Sasa ukiangalia hapo Yanga ipo poti namba mbili manake Yanga ni bora ukilinganisha na timu zinazopatikana poti namba tatu na nne hizo ndio timu zinazotakiwa kumuhofia Yanga na sio Yanga kuwahofia wao,Yanga timu inazoweza kuzihofia ni timu zinazopatikana poti namba moja tu na zenyewe ni timu moja tu ndio itakua kundi moja na Yanga..
Na kati ya hizo timu zinazopatikana kwenye poti namba moja ni moja tu ambayo Yanga haijakutana nayo kwenye mashindano ya Caf kwa misimu hii mitatu lakini zingine zote zimeshakutana na Yanga.
 
Al Ahly huyu aliocheza jana na simba au mwengine? Mimi sio Yanga ila Kwa uchezaji wao wa sasa wale Al Ahly walikuwa wanapigwa week nzima game ya jana ile yani 7-0.

Mimi ni Simba ila bila unafiki Simba ya sasa iko slow sana kwenye ushambuliaji na speed ya kuelekea langoni wamaliziaji hakuna na magoli yao yote yameegamia kwenye kubahatisha zaidi na uzembe wa timu pinzani. Yani goli hulioni linavyotafutwa linatokea tu kama zali.
Hapana, siyo huyo wa Libya, Anayetajwa hapo ni Al ahly ya Misri
 
Hivi Makundi yatapangwa lini
1727067791363.png
 
Back
Top Bottom