Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.

Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.

Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Bila shaka we ni Aveva umeamua kuwadanganya mikia wenzako,cha msingi fanyeni uvamizi mitaa ya jangwani night mliibe
 
As a general rule, every match suspension (of players and other persons) is carried over from one round to the next in the same competition.
Sasa Fahk alipata kadi katika mashindano mawili tofauti
Wengine tubaki kuwa washangiliaji wa mabao yanapufungwa. Mambo ya sheria na kanuni tuwaachie wanaojua. Ni hatari sana kuandika jambo usilolijua ukidhani unajua.
 
As a general rule, every match suspension (of players and other persons) is carried over from one round to the next in the same competition.
Sasa Fahk alipata kadi katika mashindano mawili tofauti
Aveva na wenzake wanawalia hela Simba bure tu.
 
Post kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
Laaaa! itabidi muandamane wanachama wote labda ndo FIFA watafikiria kusikiliza kilio chenu lakini billa kuathiri msimamo wa ligi ya tanzania bara
 
Sibishani na Watoto wadogo kama Wewe kwani yawezekana wakati Mimi naanza kufuatilia mpira miaka hiyo ya mid and late 80's Wewe ulikuwa ama bado tumboni umeshatungwa na kama ulikuwa umezaliwa basi ulikuwa katika Ndoo au Beseni unapiga piga tu maji huku ukisubiri kuja Kuogeshwa na ukanywe Uji wa mchele au buluga.
Kuwa mkubwa kiumri haimaanishi kuwa wewe ni muelewa kunizidi.nilichokiona kwako ni ushabiki wa kutaka wenzio wamatopeni uwaliwaze.Yanga haina haja na suluhu yoyote toka kwa simba kwakuwa simba haikuambulia chichote kaitaba
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Mikia wanadhani FIFA itaenda kuangalia mambi ya ushahidi.... mfano eti kweli kadi zilitolewa au hazikutolewa. Hiyo haipo kabisa, haima utaratibu kama huo. Cha kutazama hapo ni kama sheria zilifuatwa.
Sasa wewe unadhani wataangalia nini zaidi ya ushahidi. Hizo sheria kwani hazihusu kadi? Na bila kuangalia ushahidi watatoaje uamuzi?
 
Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.

Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.

Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Na wewe punguza uongo mbumbumbu fc
 
Matokeo ni uwanjani acheni kulia chezeni mpira, ni dhambi kutamani cha mwenzio, hizo point ni za Kagera Sugar
Serengeti boyz wapo Gabon wanashiriki U-17 kwa matokeo ambayo hawakupata uwanjani. Unajua hilo?
 
Sasa wewe unadhani wataangalia nini zaidi ya ushahidi. Hizo sheria kwani hazihusu kadi? Na bila kuangalia ushahidi watatoaje uamuzi?
Unajua kanuni za kukata rufaa? unajua Hadi kufika FIFA ni rufaa ya ngapi? Je, unajua taratibu za kusikiliza rufaa zilizopo FIFA?
 
Post kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
Mnapelekwa na propaganda za viongozi wenu waliobugi, nanyi bila kujua mnaongea kitu msichokijua.... Viongozi wameshikilia akili zenu nanyi wala hamjui singeli inayochezwa hapo... Unazijua kanuni za ligi? Yanga sio ya mabwege, ukitaka kujua hilo fuatilia mikataba ya sportipesa..utawajua mabwege na wajanja.....
 
Unajua kanuni za kukata rufaa? unajua Hadi kufika FIFA ni rufaa ya ngapi? Je, unajua taratibu za kusikiliza rufaa zilizopo FIFA?
Sijui nieleze. Ndio maana nimeuliza kama hawaangalii ushahidi wanaangalia nini? Na kwanini TFF walisema ni ruhusa Simba kwenda FIFA? Nijibu usiniulize tena?
 
lalamiko wanalofikisha ni kupokwa poiinti zao walizopewa. FIFA itakuwa inasikiliza rufaa hili ikiwa ni rufaa ya pii. Utaratibu unaoangaliwa ni kama kamati iliyopangua maamuzi ya kamati ya kwanza ilikuwa sahihi kufanya vile. Sababu ziko wazi, maamuzi ya kamati ya saa 72 yalitenguliwa kwa sababu ilionekana simba hawakufuata utaratibu. kazi ya FIFA, kama rufaa itakuwa imefika kwa kufuata taratibu zilizowekwa, ni kuangalia tu utaratibu wa TFF katika kufikisha malalamiko na hatua za kuyatatua. Issue za sijui nani alicheza akiwa na kadi sijui ngapi FIFA watarirudisha kwa kamati husika ndani ya TFF, kama tu hiyo FIFA itaona kamati ya rufaa ya TFF hawakupaswa kutengua maamuzi.
 
Aisee kumbe? Kwa hiyo Simba hawajafuata masharti.... !!
Walikosea masharti kibao, mawili tu kati ya mengi ni kwamba hawakuwasilisha malalamiko yao kwa mda unaotakiwa na pili ni kwamba hawakulipa ada stahiki. Kiutaratibu ni kwamba malalamiko ya simba hayakuwa na miguu ya kusimama, ni batili.
 
Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.

Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.

Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Umeandika mengi ila yote pumba kweli bongolala fc shinda
 
Walikosea masharti kibao, mawili tu kati ya mengi ni kwamba hawakuwasilisha malalamiko yao kwa mda unaotakiwa na pili ni kwamba hawakulipa ada stahiki. Kiutaratibu ni kwamba malalamiko ya simba hayakuwa na miguu ya kusimama, ni batili.
Twende taratibu mkuu tutaelewana tu. Mimi huwa sipingani na ukweli. Kadi tatu kama kweli zipo huwa zinakatiwa rufaa? Unakumbuka issue ya Mbeya City na Azam? Azam walipokwa point, je Mbeya City walikata rufaa na kulipa ada? Kuna kanuni inayoeleza hivyo kwamba kadi tatu zinakatiwa rufaa?
 
baada ya simba kufungwa kule kaitaba, akapeleka malalamiko yake kwenye kamati ya masaa 72. Kamati ulipotoa uamuzi kagera sugar hakuridhika, akakata rufaa kwenda Tff. Maamuzi ya kamati ya masaa 72 yakapigwa chini, simba hawajaridhika na ndo sababu wanakata rufaa FIFA
 
Back
Top Bottom