Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

Pumba detected
 
Kesi sio ya yanga ni ya kagera na simba yanga anahusika vipi hapo poovu kagera alipewa point zake na mabao yake kimya mbumbumbu sasa kelele we.
 
Tufungeni mjadala huu, maamuzi yalishatoka. Kama nilivyosema awali, FIFA kamwe hawatojishughulisha na mambo ya nani kapewa kadi na nani ana adhabu gani. FIFA wanaacha mambo kama hayo kushughulikiwa na kanuni za shirikisho la nchi husika. FIFA hawataki mambo ya kijinga.

Usilolijua ni kama usiku wa giza. Mlikuwa mnakomaa wakati hamjui chochote . Wa matopeni mtabaki wa matopeni tu. Haaahahaaaaaa.

Sasa mikia wa mezani mtaenda wapi? Kateni rufaa kwa mungu kabisa ndo kilichobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…