Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana kina Kaburu na Aveva wanawadanganya kila siku,Tangia lini Yanga FC mkawa na akili?
Ndio maana kina Kaburu na Aveva wanawadanganya kila siku,
FIFA ndio wana ushahidi kuwa Faki alikuwa na kadi 3 za njano ?
Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Kuna uwezekano wewe ndio AvevaKajifunze Kwanza mpira ukimaliza rudi ndipo ubishane na Mimi kwani kwa maelezo yako tu nimegundua kuwa nyie ndiyo wale mliokuja humu mijini kwa msaada wa Mbio za Mwenge halafu leo nanyi mnajifanya mnajua mpira. Tv zenyewe mmeanza kuziangalizia Dar es Salaam na si huko Vijijini Kwenu Kyaka Nkunde, Ikupilipa Nkoba na Mbwinde.
Tena Viongozi wa Simba SC wanatizama tu hizi post zenu wana Yanga FC na mkizidi kutuudhi hakyanani tunakinukisha huko FIFA na Tanzania inafungiwa, TFF kuadhibiwa na kusimamishwa kushiriki michuano yote ile ya Kimataifa na tutabaki tu sasa kucheza Ndondo Cup.
Huu ndiyo wakati muafaka wa Yanga FC na Wana Yanga wote kuwapigia Viongozi wa Simba SC magoti ili tusikinukishe huko Uswisi kunako FIFA.
Barua waliyopewa Simba toka TFF haielezi Fakhi anakadi 3Kama hulijui vizur hili suala piga kimya brother, Kama uliangalia press conference ya TFF walikiri kuwa ni kweli Fakhi ana kadi tatu za njano
Well you did not get my point. Nilimaanisha maudhui ya content za baadhi ya thread zako nikajua ni hawa vijana wa miaka ya kizazi cha dot com. Issue sio mama yangu either. In a nut shell nilimaliza elimu ya msingi kipindi cha kugongewa punch mashine kwenye daftari linapoisha. Sasa jumlisha na kutoa find out do i have still to consult my mum? Any way it was good to know your age.Consult your Mum probably She can tell you more about Me.
Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
akili za Lemutuz hiziKajifunze Kwanza mpira ukimaliza rudi ndipo ubishane na Mimi kwani kwa maelezo yako tu nimegundua kuwa nyie ndiyo wale mliokuja humu mijini kwa msaada wa Mbio za Mwenge halafu leo nanyi mnajifanya mnajua mpira. Tv zenyewe mmeanza kuziangalizia Dar es Salaam na si huko Vijijini Kwenu Kyaka Nkunde, Ikupilipa Nkoba na Mbwinde.
Tena Viongozi wa Simba SC wanatizama tu hizi post zenu wana Yanga FC na mkizidi kutuudhi hakyanani tunakinukisha huko FIFA na Tanzania inafungiwa, TFF kuadhibiwa na kusimamishwa kushiriki michuano yote ile ya Kimataifa na tutabaki tu sasa kucheza Ndondo Cup.
Huu ndiyo wakati muafaka wa Yanga FC na Wana Yanga wote kuwapigia Viongozi wa Simba SC magoti ili tusikinukishe huko Uswisi kunako FIFA.
Kumbe bado hamjaenda tu fifa, mmekosa nauli au inakuaje, kweli uingozi wa Simba unawadanganya kweli mashabiki wao wamewafanya mambururaSiku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Unajua hawa mezan fc waajabu kweli, kumbe cku zote hamjaenda tu FIFA, sasa mnasubiri niniPost kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
Well you did not get my point. Nilimaanisha maudhui ya content za baadhi ya thread zako nikajua ni hawa vijana wa miaka ya kizazi cha dot com. Issue sio mama yangu either. In a nut shell nilimaliza elimu ya msingi kipindi cha kugongewa punch mashine kwenye daftari linapoisha. Sasa jumlisha na kutoa find out do i have still to consult my mum? Any way it was good to know your age.
Akili za watu wa Simba ni kama akili za Maalim SeifSiku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
afu na nyie yeboyebo (vyura) fc....ile kufungwa na Mbao jana kumewaondolea kabisa hadhi ya kuwa mabingwa. hamfai wala hamstahili kuwa bingwa bora VPL title isiwe na mwenyewe!! yule mwalimu wa kutoka Uwembani si lolote si chochote.....bora mrudisheni Pluijm.
Kumbe na wewe ni Simba !!Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Akili za watu wa Simba ni kama akili za Maalim Seif
Hakuna mtu wa simba mwenye jeuri ya kukujibu hili swali. Zaidi ya kukuletea maelezo ya ziaa.Naomba kuuliza hapa pale mtu anapochelewa ku submitt claim/complaint chombo husika kinatakiwa ku struck out au ku dismiss hiyo matter ambayo imeletwa out of time...?
Tangia lini Yanga FC mkawa na akili?