Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C mkubali tu kushindwaPost kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
Taahira huyo, sio bure. Yanga anapiga mpira uwanjani, huyu anafurahisha wenzake.Wacha uongo we we wamatopeni fc.hayo mazungumzo unayaendesha wewe?
Walipigwa katererero sasa wanahahaKisa walikula kipigo na Kagera sukari, wasingefungwa yasingetokea haya!!!!!! wazeee wa mezani!!!!!!
Simba anazo points 68,Yanga anazo points 68 pia. Serengeti Boys ilikata rufaa na kushinda rufani yake na leo yuko Gabon,ndiyo utaratibu. Ukijichanganya lazima upokwe point tatu. Sasa kama watoa hukumu wenyewe wamejaa Usimba na Uyanga ndo maana unaona huu mkanganyiko,lakini ni straight point tatu Kagera anatakiwa kupokonywa bila ajizi.Wapenzi wa ile mipira ya mezani. Jamani, jitahidini basi angalao mshinde points pale U/taifa. Yanga hawajapewa points na tff bali waliziokotea uwanjani. Huo, ndo mpira kubalini yaishee. Mwisho wa ligi ndo mwanzo wa ligi nyengine, sio mwisho wa kucheza mpira. Next tyme hakikisheni mnawazaba hao kagera goli 100 kwa sekunde 2 ili wakome kuwashika shurubu.
Kombe litaletwa! Hii kauli inachekesha sana. Ila ndio hivyo. Kwa gharama yoyote lazima mpewe kombeSiku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Acha urongo, Yanga itafute suluhu na wamatopeni?Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
vipi kuhusu police dar dhidi ya simba?Simba anazo points 68,Yanga anazo points 68 pia. Serengeti Boys ilikata rufaa na kushinda rufani yake na leo yuko Gabon,ndiyo utaratibu. Ukijichanganya lazima upokwe point tatu. Sasa kama watoa hukumu wenyewe wamejaa Usimba na Uyanga ndo maana unaona huu mkanganyiko,lakini ni straight point tatu Kagera anatakiwa kupokonywa bila ajizi.
Ni dosari kubwa sana kama hili likiachwa. Maana yake team zimepewa ruhusa kuchezesha mtu mwenye red card?
Nope, iko barua ya hukumu waliyopewa Simba humu humu jf. Mengine yote ni uzushi wa mezani fcKama hulijui vizur hili suala piga kimya brother, Kama uliangalia press conference ya TFF walikiri kuwa ni kweli Fakhi ana kadi tatu za njano
[emoji23]Sio lazima kila mtu aandike,usilolijua uliza kwanza
HuelewUko sahihi kabisa mkuu. Mikia wanadhani FIFA itaenda kuangalia mambi ya ushahidi.... mfano eti kweli kadi zilitolewa au hazikutolewa. Hiyo haipo kabisa, haima utaratibu kama huo. Cha kutazama hapo ni kama sheria zilifuatwa.
We jamaa muongo sana kweli simba haitaki ubingwa inafanya mazungumzo na wakati jana yule tapeli wenu kawaonyesha waandishi wa habari kielelezo kuwa barua au rufaa yao imepokelewa au unataka tuamini maneno ya RAGE kuwa Simba ni mbumbumbu?!!
Mkuu unamaanisha kweli 80s ama unamtishia tu jamaa? Nasomaga threads zako kimaudhui zinacontradict na umri wa mtu kuweza kuwa na uaezo wa kufuatilia mpira mid 80s. I mean some of your threads' contents are younger than your age!! Amazing!
Nahukia sana mtu anayeacha kujibu hoja na ku attack personalities. unapata wapi ujasiri wa kuwaita wenzio ni wa facebook na wewe ni wa great thinker wakati wewe ni kimeo zaidi! Usitudanganye wewe kuwa eti kuna watu wanatafuta suluhu hapa! hakuna kitu kama hicho. FIFA inasimamia sheria zake 17 na FA ndo inasimamia kanuni! Issue ya kanuni huwezi kuipeleka FIFA we mbumbumbu! Subiri utaona.