min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Tutulie hivi hivi bwasheeKila mjanja ana mjanja wake
Ova
Tutulie hivi hivi bwasheeKila mjanja ana mjanja wake
Ova
Mambo ya "we make it rain"Harusi ni biashara.
Huyo mwanamke mwenyewe kumuoa mnanunua kwa mahari.
Hamuelewi wapi?
Miaka fulani tuliendaga sherehe moja hivi jamaa aliandaa alipiga hela nyingi mahenge,akaandaa sherehe ya kuuaga umaskiniJamaa alikua na sifa za hela😁 hatari.
Maeneo gani Bwashee 😅Miaka fulani tuliendaga sherehe moja hivi jamaa aliandaa alipiga hela nyingi mahenge,akaandaa sherehe ya kuuaga umaskini
😄 aise watu ndani tuli blow
Ova
Alifanyia moro ahh mbn jamaa akaja tena kufilisikaMaeneo gani Bwashee 😅