Hii ndio siri ya wasukuma kuhusu utoaji wa zawadi kubwa kwenye send-off zao

Mbona hiyo bilioni inawastua sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hivi mnajua gram moja ya dhahabu ni 500k+, watu wanapiga mpaka kilo 2 kwenye duara moja na bado shughuli inaendelea

Hembu tokeni huko dar mnakoshindia mihogo na miguu ya kuku mje muone pesa ziliko
 
Hayo madini wenye nayo wachache mno mkilinganisha na promo za mitandaoni.... Madini madini

Eniwei nipo katoro pia nisiulizwe swali.... Nipo katoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…