Hii ndio St. Fransis Girls Mbeya

Hii ndio St. Fransis Girls Mbeya

Kwa hiyo division four na zero ndio elimu bora ?
kama kupata one ya 7 ni kipimo cha elimu bora,hebu mtoe mwanao huko shule mweke mtaani,mwambie aitumie hy one yake ya 7. Kule EMS schools wanamezeshwa mitihani, hawana tofauti na hawa wa kayumba. shule au elimu bora,mtaala wake umejikita mwanafunzi aweze kukabiliana na mazingira,. eti upo hapa unajipga kifva mtoto wako amepata one ya 7 anatofauti gani na aliyepata dvn 2 ya 19 kayumba? pesa nying mtaala uleule shtuka
 
Back
Top Bottom