Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Ingawa wanachukua cream...lakini itakua wanafundisha sana na mazingira bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo halafu kuna fala mmoja anasema wamevujishiwa mtihani wao huchukua vipanga tu hawangalii hela akoWanalinda brand
Pale wanachofanya kuwakaririsha maswali mengi kadri wawezavyo kwakuwa wanajua.Kuna Dada mmoja tulifanya naye kazi, binti yake alisoma hii shule na akapiga One ya 7 sasa kuna siku akanikutanisha naye nikawa na mdadisi dadisi kimtindo, sikuamini. Hizi shule kuna namna wanfanya na hasa kuwa karirisha mno watoto past paper. Watoto mtaani ni weupe huwezi amini
Hii ni shule ya vipanga tuu inapeperusha bendera ya Mkoa wa Mbeya .
View: https://www.instagram.com/p/DFKnRXhsulD/?igsh=MTVmc2J1OGY3OHFkMA==
Shule Bora Tanzania nzima 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFLImzhIogl/?igsh=b2gwc3pybW92M3h1
Acheni kupayakua shule inachukua wanafunzi wenye uwezo tu haina maana yoyote ileHii shule ni mali yangu. Najivunia kumiliki shule inayotoa vipanga.
Hii ni shule ya vipanga tuu inapeperusha bendera ya Mkoa wa Mbeya .
View: https://www.instagram.com/p/DFKnRXhsulD/?igsh=MTVmc2J1OGY3OHFkMA==
Shule Bora Tanzania nzima 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFLImzhIogl/?igsh=b2gwc3pybW92M3h1
FactIngawa wanachukua cream...lakini itakua wanafundisha sana na mazingira bora
Acha wivu.Acheni kupayakua shule inachukua wanafunzi wenye uwezo tu haina maana yoyote ile
Ndio, huwa wanafundishwa mpaka kuandika.Hao si ndio mpaka miandiko huwa wanafanana?