Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Hii ni shule ya vipanga tuu inapeperusha bendera ya Mkoa wa Mbeya .
View: https://www.instagram.com/p/DFKnRXhsulD/?igsh=MTVmc2J1OGY3OHFkMA==
Hii shule kwa kupiga One tu imeshindikana.
Wanawachunga sana Watoto issue wakitoka apo wakaja mtaani ndio wanakuwa wateja wazuri wa wavuvi camp.