Hii ndio St. Fransis Girls Mbeya

Hii shule kwa kupiga One tu imeshindikana.
Wanawachunga sana Watoto issue wakitoka apo wakaja mtaani ndio wanakuwa wateja wazuri wa wavuvi camp.
Kuna Dada mmoja tulifanya naye kazi, binti yake alisoma hii shule na akapiga One ya 7 sasa kuna siku akanikutanisha naye nikawa na mdadisi dadisi kimtindo, sikuamini. Hizi shule kuna namna wanfanya na hasa kuwa karirisha mno watoto past paper. Watoto mtaani ni weupe huwezi amini
 
Hahaha mkuu kwani wewe unataka one ya 7 au unataka nini ndugu muajiri? Maana ukipeleka vyeti mnachoangalia sana ni A A A A A A A A A hakuna kingine cha zaidi
 
Tutafute hela za Ada inayotosha mkuu ulichoandika hapa ni hasira tu ila hao wanaofauru hizo shule tuwape pongezi tu..
 
wanakuelewa kwanza hawa vichaa. Elimu ya tanzania ni udwanzi mtupu yani mtoto anasisitizwa kusolve past papers kumtaka akariri maswali.
 
Hongereni bwana wewe watoto hapo ,sisi wengine mitoto yetu imezungusha Sasa hivi nikiingia sebleni linakimbilia jikoni ,nikiingia jikoni liko chooni haki kuzaa sio kazi Ila kazi kulea
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜ Kuna maisha Nje ya vyeti usimgasi asije kuwa stressed akajinyonga.

Kuna siku au mahala atakuja kukufaa,in most cases Hawa vipnga wanawahi kuacha Wazazi wanaenda huko mbali hao unaowaona hawana maana ndio wanakuwaga jiranj na Wazazi.

Mimi nataka niwe na vipanga na wale wenye akili za kawaida maana hao ni rahisi Kukaa nao uzeenj na lazima Kuna sehemu wata fit.
 
Shida sio yeye kuwa kipanga wala kilaza shida ni kwanini asome shule ya hela alafu azungushe ?
Ijapokuwa na shule imenikosea Sana kumbe pale uwaa Wana kawaida ya kuwatoa vilaza na kwenda kuwafanyisha mitihani shule zingine na wale vipanga wanabakishwa ili wakuze jina la shule .

Huyu simgasi kabisa wacha nimpotezee Ila siku nitamlewea ,nitamsema na kumtembezea kiboko mpaka aniambie alifuata nini shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…