Hii ndio St. Fransis Girls Mbeya

Ingawa wanachukua cream...lakini itakua wanafundisha sana na mazingira bora
 
Uzuri nilisoma shule ya mfano huu na nikafaulu, hizi shule, jinsi ya kujibu mitihani, jinsi ya kujipambanua, jinsi ya kuandika, jitihada za kufanya mwanafunzi afaulu huwa ziko juu sana.
Special programmes, kuna kipindi walimu wazuri kabisa wale huletwa kuwabrush before exams, yaani kuachana na walimu husika wa masomo,
Kumaliza syllabus mapema. Alafu wana followup kali ya maisha ya wanafunzi shule.
Ndio humfanya mwanafunzi awe smart kwenye kujibu mitihani.
Shule hizo mnazoona ufaulu mchache. Nyingi kusanya ada watoto wasome.
 
Pale wanachofanya kuwakaririsha maswali mengi kadri wawezavyo kwakuwa wanajua.
Na pia wanaojiunga pale ni wale wanafunzi kidogo wenye uwezo mkubwa wa kukariri kwakuwa wanawapiga mchujo kabla ya kujiunga.
 
Ingawa wanachukua cream...lakini itakua wanafundisha sana na mazingira bora
Fact
Elimu ni mchanganyiko wa nia ya dhati baina ya walimu wanaojituma, wanafunzi wenye ari na wazazi wenye malengo makubwa kwa watoto wao.

Education is a shared commitment between dedicated teachers, motivated students and enthusiastic parents with high expectations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…