Hii ndio staili ya maharusi wa sasa?

Hii ndio staili ya maharusi wa sasa?

Mh kiukweli swala hilo nigumu kwani mimba sio sababu ya kuoa ila nimoja ya matokeo ya kidunia then ukiona mwanamke anaolewa na mimba kuwa na mashaka 100% kwani hapo hakunapenzi ila ubabaishaji m2pu. na pili habu fafanua vizuri maana ya "ndoa" coz wa2 weng ha2jui. je? nikuingiliana kimwili au kwenda msikitini au kanisani?
 
hamna lolote hiyo yote ni roho ya wivu na tamaa hamna jengine...
 
Ajari kazini,
sidhani kama kuna mtu anafurahi kufunga ndoa akiwa mjamzito.
 
Unajua watu huwa wanakaa kwenye mahusiano muda mrefu wakifanya tendo la ndoa bila wasiwasi wowote. suala la ndoa huibuka pale ratiba zinapoenda kombo na hatimaye mimba kuingia!
 
Mambo ya siku hizi ni shake well before use!
 
Pamoja na kuhakikisha kuwa wote mnaweza kuzaa hii pia husaidia kujua kama mnaendana kimaumbile,sio ile baada ya ndoa mwanamke anadai huyu mwanamme simuwezi au mwanamme anadai kwa huyu dada naelea tu.
Kama kweli huo ndio huo kunahitajika elimu ya kutosha!Kama mwanaume ndio mwenye tatizo la uzazi kwa mtindo huo atajuaje? Hadi aje kuhisi ni yeye atakua amejaribu kwa wanawake wangapi? Kwa nini wasitumie njia sahihi? Na hata mwanaume akijua tatizo ni lake atanyamaza asimshirikishe mwenzie. Hiki ni nini?Ni sawa na mwanaume kujipima vvu kwa majibu ya mkewe.Tupo gizani!
 
vijanaume vinachakachua watoto wa watu kuoa havitaki ss hamna jinsi kuwabambika nazo..tena wamwambia ikiwa na miezi saba kabisaaa!

Ahaaaaa kumbeeee!!!!!!!!
 
Kama tungeulizana humu jamvini na maraika wakawa mashahidi wetu niwangapi walioa /kuolewa walikuwa hajachakachuana kabla ya kufunga ndoa, nadhani kila mtu anajibu lake. hili ni fumbo la imani
 
Kazi kweli kweli...
Kwa hiyo jaribu kabla hujachukua
dahhhhh
Na ile mtoto ni majaliwa mmmhhh
I guess imepitwa na wakati..

Im just wondering what's next? ??
 
Mimi naona ni kupitiwa tu, wengi huwa wanaanza kuchakachuana mapema. Kitu kikitik wanakimbilia ndoa. Nyingi huwa inatokea bahati mbaya!
sio kupitwa na wakati tu bali wahusika wote wawili hawakupatiwa malezi sahihi ya wazazi wao wapate kujua kuwa kupata mimba ama kutopata sio msingi wa ndoa. Kwanza ni aibu kubwa kwa wazazi wa pande zote mbili, kwa sababu wamedhihirisha wazi kwamba vijana wao hawakuwa waaminifu wakati wa urafiki wao. Ndio maana kila siku nitazidi kuwahimiza wasomaji wengi kukitafuta na kukisoma kitabu CHA NDOA YANGU, NINGEJUA ili kiwasaidie wengi kujitambua na kuepusha ndoa kuja kuingia katika matatzo
 
Nijuavyo hakuna mwanamke anaeolewa akiwa bokra nowadays especially wanawake wa mjini.wakati wauchumba ni lazma mdonyoane hasa mkiwa mnampango wakuoana,ikitokea ndio mshapima HIV basi ni nyama kwa nyama kwakwenda front huku mkifarijiana kwamba endapo utapata mimba tutaona.
Sababu ya kuoana mtu mjamzito ni kweli sbb ni hiyo mimba ili mtoto asizaliwe nje ya ndoa,hasa upande wa mwanamke huwa wanaforce ili isiwe aibu kwao.Kwakufanya hivi maana halisi ya ndoa inapoteaa kwani mnaweza kuoana wakati bado hamjafahamiana vyakutosha,licha ya mtoto kuzaliwa ndoa inaingia matatani na mwisho huvunjika.
Ni vizuri kwa wale ambao hamjaoa,ukioa mtu unaempenda kwa dhati ili muishi kwa raha,upendo na amani.

Nakubaliana nawe kwa hiyo pointi yenye RED mark with fact kuwa:
Nakumbuka ma wife alipojigundua tu kuwa ameshika mimba,alienda mbio (yuko mbali home kwao) kwa wazazi wake kutoa taarifa kuwa ana mchumba! Na baada ya apo akaniforce nikajitambulishe,nikafanya ivo na process nyingine zikafuata fasta!
 
Back
Top Bottom