Hii ndio "Status" ya Jeshi la Polisi kwa sasa

Hii ndio "Status" ya Jeshi la Polisi kwa sasa

It is never too late to try
You're wasting your time buddy. Diplomatic solutions wiii never end corruption and other kind of evils done by the current police force in tz. What we need now is total demolition of the current police unit. Put all the cops out of of action for 6 month suspend everybody out there! Jwtz can take charge of police activities during those 6 months. Recruit some fresh blood of educated youths and train them to be the proper police of the people!a
 
Polisi wanaenda watu wasio na sifa hasa ya physical strength ndio maana wanakimbilia kutumia risasi ktk kila confrontation.

Polisi haipo kisasa kutokana na kuchukua "rejects" wasio na kitu upstairs.

Polisi hawalipwi vizuri ndio sababu wanafanya watu wenye shida na " huduma" yao kuwa ni Mtaji wao.
 
You're wasting your time buddy. Diplomatic solutions wiii never end corruption and other kind of evils done by the current police force in tz. What we need now is total demolition of the current police unit. Put all the cops out of of action for 6 month suspend everybody out there! Jwtz can take charge of police activities during those 6 months. Recruit some fresh blood of educated youths and train them to be the proper police of the people!a

Is possible for the educated youth lets say degree holders to be police without force? I think the only problem why they are corrupt is poor salary
 
Mwanangu kama hataki kula nimwambia namwita polisi ni fasta anakula kama kajazwa Apetite dakika hzo hzo!!
Kazi ipo hadi waje wajisafisishe!
 
sorry,kuna wale vijana waliotapeliwa pesa,na kukodiwa mabasi mpaka chuo cha polisi moshi,then majina yao hayakuwemo kwenye orodha ya wanachuo waliochaguliwa,hivi ile mambo iliishia wapi?
 
Mimi siwapendi polisi, huwa sipendi hata kuwa karibu nao..

Mimi nilishaacha hata kuwategemea, ikitokea majambazi wamewashinda nguvu walinzi wangu sipigi simu polisi kwani hata ukiwapigia watakwambia gari haina mafuta au imeenda doria sehemu, na sisi watu wa Tegeta, Bunju tunafaham vema ukiambiwa gari ipo doria ujue imeenda kusindikiza mzigo toka bandari bubu.
 
naungana mkono hoja na naomba mode usitoe hii uzi tujadili kwa kina.
 
Jamani hii kazi kwanza sikuhizi imekuwa ni ya kurithi, usitegee babako awe mlezi wewe urithi ulokole. Pili pia nao ni binadam wamechoka kusindiza viongozi wasio waadilifu kwa hiyo wameamua nao wasafirie nyota, ukipitisha bangi gunia 10 nae ataweka zake 2hapo ili asitoke kapa. Tatu kwa matukio ya maauji yanayotokea ni moja ya maagizo maalumu kutoka juu wao sio wehu kuua hovyo, ila wanatumia mwanya huo kuuwa wafanya biashara kujinufaisha wao wakijua hakuna atakaye wauliza kwa kuwa utakuta siku chache nyuma wametoka kufanya kazi ya bosi wao. Hitimisho : Hapo nikumuomba mungu atuepushe na kikombe hiki.
 
Nimekuelewa vizuri sana Mpwa but we can still do something good for us and for our children's children.....
 
Kaka mkubwa Elli, what's your credibility hadi uweze kuamini u can be given the task to re-design the police curriculum!??
 
Last edited by a moderator:
Mpwa Elli wazo lako ni zuri lakini ni nani anajali? Kama ambavyo umeshasema kuwa lipo kwa ajili ya maslahi ya baadhi ya watu usitegemee hao watawala waruhusu jeshi la polisi lifanye kazi kwa uweledi hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Kha!!! Ni huyu Mpwa wangu Bujibuji au mwingine? haya hizo hila za shetani wazijua kumbe!!!! Mie nataka tuanzishe campaign ya kulibadilisha hili jeshi ili liwe la kwetu
Jeshi la mashetani wakubwa wenye hila ya nyoka
 
Duh, hapa nimeweka break Mpwa but kuliacha liendeleee hivi lilivyo ni sahihi kweli?
Mpwa Elli wazo lako ni zuri lakini ni nani anajali? Kama ambavyo umeshasema kuwa lipo kwa ajili ya maslahi ya baadhi ya watu usitegemee hao watawala waruhusu jeshi la polisi lifanye kazi kwa uweledi hata siku moja.
 
Kaka mkubwa Elli, what's your credibility hadi uweze kuamini u can be given the task to re-design the police curriculum!??
Mpwa wangu Mentor, kuna vitu ambavyo vinahitaji utulivu tu na maamuzi ya busara, tunaweza au ninaweza kuli-shape taratibu na kimya kimya hadi siku moja kila mtu akalifurahia, sio uchawi. Ni kuamua tu siku moja kuwafumbia macho na masikio hao wakubwa. Kwa mfano tukisema na tukaamua kuwa IGP iwe ni post ya kutangazwa na kusailiwa huoni tutakua na mwanzo mzuri, then tunashuka hadi kwa ma-RPC kuwa wawe promoted si kwa vigezo vya undugu, urafiki, udini, ukanda au ukabila, kunakuwa na Kamati huru yenye kuyafanya haya, huoni tutakua na mwanzo mzuri na kuwa na jeshi la mfano?
Au Askari wetu mmoja amekosea, basi awe punished openly na instantly kusiwe na kusita wala kuyumbisha, Yes We can
 
Back
Top Bottom