Hii ndio tafsiri ya kilichotokea katika jaribio la mapinduzi lililofanyika na Majeshi ya Wagner

Ila hii ishu wacha tutenge macho na masikio tuone kinachoendelea. Kupigana na nchi zaidi ya 30. Sio kitu kidogo sana. ( NATO vs Russia ) kuna kitu kimoja nakiona ambacho sio cha kushabikia sana maana naona kama ndo End of Timu kwa generation yetu. Maana kikiwaka apokei mtu
 
Usiwe na akili za kushikiwa na kukaririshwa mambo kama Kasuku. Urusi ukiondoa nuclear zake hata Finland au Poland anaweza kumkalisha, nchi 30 zitahitaji siku 30 kuifutulia mbali Urusi. Kwa sasa Urusi inapigana na Ukraine.
 
Bila misaada ya NATO , ukrainw angekuwepo leo ??
 
Putin alishindwa zamani, na huo ndo ukweli ambao mrusi wa Tanzania hataki kusikia, ni cku 500 toka Russia anzishe uvamizi kamili lakini hakuna cha maana ni mbali na kugombania mashamba tu huko Eastern Ukraine.

Kamwe Russia hawataweza kuingia Kyiv, na hakuna takataka lolote litakalo toka Russia au Belarus kuingiza pua yake Kyiv kwa sasa. Mda wa mrusi kuingia Kyiv ilishapita so ndo aingie leo?
 
Back
Top Bottom