Hii ndio Tanzania, wageni wameanza kuijua

Ondoeni Kenyan section muone kama mtaona mkenya hapa,
Tuko hapa juu ya hii section,without it ni ZERO.
Mbona ninyi katika ndege zenu mumeandika "Kilimanjaro, Ngorongo " lakini hakuna mtanzania hata mmoja anayefanya kazi ndani ya hizo ndege?, Kenya news maana yake sio ukurasa wa wakenya, ila ni habari zinazowahusu wakenya. Hii habari ya Tanzania kujitosheleza bila kuhitaji nchi yoyote ya East Africa inawahusu wakenya pia.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Heeeee!!!tena juu zipo timamu kweli, unalinganishaje flights na majukwaa ya siasa[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Yani mafuta ya kupika ndio yanakutia kiwewe hivi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndipo wakenya mnapokosea katika uchumi, Kenyans produce what they don't consume, and consume what they don't produce, unfortunately what Kenya produces for export is less than what it imports for its consumption.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani mafuta ya kupika ndio yanakutia kiwewe hivi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Another point ni kwamba almost 90% of sunflowers are cultivated in Singida and Dodoma with exactly exactly the same weather conditions as Turkana

Lakini 1 side feeds the world while the other is dying from hunger πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kenya has been producing oil and exporting it for for decades
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndio maana hurukaruka kwa furaha wanapoona bandari yao inaongoza ukanda huu kwa kuingiza mizigo ambayo almost 85% is destined for Kenya, wao wanaona kitu cha maana sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lamest joke ever
Dude, Tanzania just started producing oil the other day. Kenya has been supplying you with oil like forever before you banned it due to jealousy.
 
Dude, Tanzania just started producing oil the other day. Kenya has been supplying you with oil like forever before you banned it due to jealousy.
Who told you so? FYI Tanzania has never been dependent on your food, toka nikiwa mdogo nikisafiri barabarani hukosi kuona madumu ya mafuta ya alizeti

Yaani huku mafuta ya alizeti yanakuwa processed in a home level (homemade) na yanauzwa kama nyanya.
 
We are talking about oil, not sunflower
Hahahaha sasa kwani mashine ya kukamua alizeti shilling ngapi? Hata 300k haifiki

Halafu huku alizeti pia hukamuliwa kwenye mashine mitaani kama posho mills, a basket of alizeti for 1k, tembea uone namna gani Kenya ipo nyuma kama matakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…