joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: East Africa needs Tanzania more than other way round [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha wivu "mwandani"inferiority complex ndo inakufanya utapetape kwenye kenya news and politics ukifungua mada kama hizi
Failed statement are afraid to see people discover more about their stupid, corrupt, and hopeless country.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha. You keep dreaming. View attachment 1560284
#PlayKenyaMusic 😂😂😂Haha. You keep dreaming. View attachment 1560284
Mbona ninyi katika ndege zenu mumeandika "Kilimanjaro, Ngorongo " lakini hakuna mtanzania hata mmoja anayefanya kazi ndani ya hizo ndege?, Kenya news maana yake sio ukurasa wa wakenya, ila ni habari zinazowahusu wakenya. Hii habari ya Tanzania kujitosheleza bila kuhitaji nchi yoyote ya East Africa inawahusu wakenya pia.Ondoeni Kenyan section muone kama mtaona mkenya hapa,
Tuko hapa juu ya hii section,without it ni ZERO.
Heeeee!!!tena juu zipo timamu kweli, unalinganishaje flights na majukwaa ya siasa[emoji848][emoji848][emoji848]Mbona ninyi katika ndege zenu mumeandika "Kilimanjaro, Ngorongo " lakini hakuna mtanzania hata mmoja anayefanya kazi ndani ya hizo ndege?, Kenya news maana yake sio ukurasa wa wakenya, ila ni habari zinazowahusu wakenya. Hii habari ya Tanzania kujitosheleza bila kuhitaji nchi yoyote ya East Africa inawahusu wakenya pia.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
MY TAKE: East Africa needs Tanzania more than other way round [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Na sisi tunashangaa vile mnafurahi kutuuzia maziwa ya ng'ombe.Yani mafuta ya kupika ndio yanakutia kiwewe hivi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndipo wakenya mnapokosea katika uchumi, Kenyans produce what they don't consume, and consume what they don't produce, unfortunately what Kenya produces for export is less than what it imports for its consumption.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani mafuta ya kupika ndio yanakutia kiwewe hivi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Another point ni kwamba almost 90% of sunflowers are cultivated in Singida and Dodoma with exactly exactly the same weather conditions as TurkanaYani mafuta ya kupika ndio yanakutia kiwewe hivi?😂😂😂
Hawa uzi maziwa ya ng'ombenasisi tunashangaa vile mnafurahi kutuuzia maziwa ya ng'ombe.
Kenya has been producing oil and exporting it for for decadesHapo ndipo wakenya mnapokosea katika uchumi, Kenyans produce what they don't consume, and consume what they don't produce, unfortunately what Kenya produces for export is less than what it imports for its consumption.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Ndio maana hurukaruka kwa furaha wanapoona bandari yao inaongoza ukanda huu kwa kuingiza mizigo ambayo almost 85% is destined for Kenya, wao wanaona kitu cha maana sana 😂😂😂😂Hapo ndipo wakenya mnapokosea katika uchumi, Kenyans produce what they don't consume, and consume what they don't produce, unfortunately what Kenya produces for export is less than what it imports for its consumption.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38] Have mercy!Yani mafuta ya kupika ndio yanakutia kiwewe hivi?
🇹🇿 leads in Africa and the world in this business 😂😂😂😂Kenya has been producing oil and exporting it for for decades
Dude, Tanzania just started producing oil the other day. Kenya has been supplying you with oil like forever before you banned it due to jealousy.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Lamest joke ever
🇹🇿 leads in Africa and the world in this business 😂😂😂😂
Who told you so? FYI Tanzania has never been dependent on your food, toka nikiwa mdogo nikisafiri barabarani hukosi kuona madumu ya mafuta ya alizetiDude, Tanzania just started producing oil the other day. Kenya has been supplying you with oil like forever before you banned it due to jealousy.
Hahahaha sasa kwani mashine ya kukamua alizeti shilling ngapi? Hata 300k haifikiWe are talking about oil, not sunflower