komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Faida gani jomba wakati nyi wenyewe mnatukanwa hadi basiKuna vitu niliandika kuhusu faida unazokosa humu Jf kwa kujifanya eti wewe unashinda kenyani section bahati mby mods wameifuta ile comment na cjajua wamemaanisha nn au huenda wameona inatoa influence watu kudharau dawa za wazungu but I wanted to tell you that unakosa mambo mengi muhimu kwa kuendekeza huo upuuzi wa kenyani section.