Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao.
Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond plated. Miwani hiyo thamani yake ni Euro 243 sawa na 685,000 Tsh.
Credit - HabariMtandaoni