Hii ndio thamani ya miwani ya Mo Dewji

Hii ndio thamani ya miwani ya Mo Dewji

View attachment 3016442

Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao.

Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond plated. Miwani hiyo thamani yake ni Euro 243 sawa na 685,000 Tsh.

View attachment 3016448

Credit - HabariMtandaoni
Pesa ndogo sana hiyo, kulinganisha na kipato chake.
 
View attachment 3016442

Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao.

Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond plated. Miwani hiyo thamani yake ni Euro 243 sawa na 685,000 Tsh.

View attachment 3016448

Credit - HabariMtandaoni
Miwani uliza CCBRT ipo ni 1.5M
 
Sisi wanasema tunataka bil 20.
Hizo miwani hazituhusu.

Alisikika mwanasimba kindakindaki mmoja
 
Back
Top Bottom