Hii ndio "THE NEW NORMAL" katika jamii zetu kwa sasa.

Hatari sana mkuu mwanaume mzima anatoka hadharani eti mkewe alipokuja kwake alikuwa anavaa kigwaya mke nae ana muanika mumewe jongoo halipandi mtungi jamii imeharibika sana...
 
Hatari sana mkuu mwanaume mzima anatoka hadharani eti mkewe alipokuja kwake alikuwa anavaa kigwaya mke nae ana muanika mumewe jongoo halipandi mtungi jamii imeharibika sana...
Alafu unakuta watu wanacheka na kusifia

Zamani ujinga kama huu waliitwa kwenye kikao cha ukoo,alafu wanakutembezea mboko

Siku hizi eti ndio sifa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…