Hii ndio "THE NEW NORMAL" katika jamii zetu kwa sasa.

Weka ka picha mkuu tuyaone!
 
Mkuu umenena ukweli mtupu. Ndo maana nimejiunga kwenye kikosi Cha kataa ndoa kwa sababu wanawake wa siku hizi hawako tayati kuishi chini ya mamlaka ya mwanaume kwa kudai kuwa wanataka haki sawa.

kataa ndoa kwa maana ni utapeli!!

Bolotoba
Dhumuni la kunitag kwenye huu uzi ni nini 🥶acha ungx basi kwanza mimi sio kataa ndoa mimi Nina mpango wa kuoa mwaka huu
Endelea kupiga nyeto
 
Mkuu,

Hizi simu, computers na hata mitandao na magari ni vitu vya kimagharibi tumeletewa tu.

Uko tayari vipigwe ban vyote tuishi kiutamaduni kwenye mikokoteni na kutumiana message kwa ngoma na moshi?

Au tunaishi kwa methali ya Kiswahili ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa"?
 
Ukweli mtupu 💯
 
Mfumo ndiyo unayataka hayo
Watu wawe walevi,wafikirie burdan tu,ushg uchawa usanisanii
Ujingujing unapewa kipaumbele
Nchi hii mpk kufika 2035 itakuwa nyakanyaka

Ova
 
Huo unaitwa ustaarabu wa kukodi ambao ukiwa ushamba was nchi zilizoendelea Sisi tunaita ujanja na maendeleo katika jamii Kama wao waitavyo.

Kadri mnavyozidi kustaarabika ndivyo mnavyozidi kuwa hatari kwa kila mmoja wenu.
Tanzania na nchi zingine za kiafrika zimeupokea huo unaoitwa ustarabu/usasa katika namna isiyo sahihi yaani kinyume kinyume na ndio maana tunaona athari ni nyingi kuliko faida.

Wabongo wameipokea western culture kama ilivyo bila kuichuja na kuangalia kama inaendana na mazingira yao kwanzia uchumi mpaka misingi ya kifamilia.

tamaduni inayotoa uhuru usiokuwa na mipaka kwamba mtu yeyote anaruhusiwa kufanya chochote ilimradi amdhuru mtu mwingine, hiyo ni hatari sana kwa ustawi wa jamii, maana watu watafanya vitendo vya kipumbavu ambavyo vitapelekea kupunguza nguvu kazi ya taifa,familia kusambaratika na kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…