Umenikumbusha kitambo fulani kuna sister mmoja mjamzito, katika mastori na yeye nikamwambia huyo mtoto wako akiwa wa kiume itabidi umuite jina la babu yake kizaa baba...weeee aliwaka akasema hawezi kumuita mtoto wake jina la kishamba vile(of course jina la babu yake limekaa kikabila)Sisi tushabebwa mazima, kwasasa ukifanya mambo ya kimagharibi unaonekana mjanja, ukifanya yakitamaduni mshamba! Fuatilia tu hata mashuleni siku hizi unakuta Steven,Ahmed,Michael,Anwar kama majina ya ukoo. Masawe,Mapunda,Mwakipesile huyakuti tena! Twende tu tutajua mabalaa ya hii kitu inaitwa demokrasia huko mbele.
unywaji wa pombe za bei rahisi tangu asubuhi mpaka jioni limekuwa jambo la kawaida kabisa kwa mangi🚩Mashoga kujivinjali na kujionesha waziwazi katika masherehe na shughuli za kutuzana, zamani mtu aliekuwa ushoga aliishi kwa usiri mkubwa sana yani unasikia juju kwa juu tu kuwa fulani ni shoga.
🚩Aina ya mwanamke alie katika utupu au historia ya skendo chafu ndio inakuwa televised na glorified katika vyombo vya habari kupelekea hadi kupata offers za kutangaza. Zamani mwanamke alie na staha ndio aliokuwa kioo cha jamii.
🚩Siku hizi kuachana ni bei rahisi sana, single mothers wamejazana mtaani, wanaume waliooa na kuacha zaidi ya mara tatu wamejaa mtaani, mahakamani ni kesi za kugawana mali, etc. Ebu angalia wazazi wako na wa rafiki yako hadi leo wako pamoja.
🚩Sasa hivi heshima na ushujaa wa mtu ni vitu anavyomiliki na umashuhuri mitandaoni sasa na vijana wamekuwa wadhaifu kupelekea kuzibuliwa vyoo na kulelewa na wamama/wababa ili afikie maisha ya mtandaoni. Zamani umashuhuri wa mtu ilikuwa ni jitihada yake na staha yake haijalishi uwezo wake.
Majina ya wale jamaz kwenye tamthilia za ki mexicoUmenikumbusha kitambo fulani kuna sister mmoja mjamzito, katika mastori na yeye nikamwambia huyo mtoto wako akiwa wa kiume itabidi umuite jina la babu yake kizaa baba...weeee aliwaka akasema hawezi kumuita mtoto wake jina la kishamba vile(of course jina la babu yake limekaa kikabila)
Nikaja kukutana nae mwaka mmoja baadae huyo dada safari hii alikuwa anaitwa mama Sergio.. na Sergio ndio jina la mtoto aliyejifungua😅😅 nilijiuliza maswali mengi sana.
hatari sanaVijana wanachoma maini vibaya mno
usisahau UGORO na bangi kwa pamojaUnakuta mtu hapo hapo anatafuna mirungi, amechanganya visungura na azam energy, aisee 🤔
Unakuwa na mishangazi ya kusukuma siku huku ukizaa nao watoto ambao baadaye utawakusanya na kuwalea kwa ustadi wa hali ya juu Ili wakusaidie maishani.Kaka ni nilishawahi 🤣Ila ushauri wako wa kijinga sana mzee Yan mtu niishi peke angu na am 35
Mtego huo, 😂wingi wa pua si wingi wa kamasiUnakuwa na mishangazi ya kusukuma siku huku ukizaa nao watoto ambao baadaye utawakusanya na kuwalea kwa ustadi wa hali ya juu Ili wakusaidie maishani.
Watoto wa kiume wakifika 11 una anzisha timu ya soka.
I'm done!
Mkuu,Mkuu,
Hizi simu, computers na hata mitandao na magari ni vitu vya kimagharibi tumeletewa tu.
Uko tayari vipigwe ban vyote tuishi kiutamaduni kwenye mikokoteni na kutumiana message kwa ngoma na moshi?
Au tunaishi kwa methali ya Kiswahili ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa"?
Hapo ukimuuliza Sergio ni nini hata haelewi manina! Na anaenda mbali kusema waziwazi mtoto anayeitwa kwa jina la Kiswahili au kilugha jina lake baya!Umenikumbusha kitambo fulani kuna sister mmoja mjamzito, katika mastori na yeye nikamwambia huyo mtoto wako akiwa wa kiume itabidi umuite jina la babu yake kizaa baba...weeee aliwaka akasema hawezi kumuita mtoto wake jina la kishamba vile(of course jina la babu yake limekaa kikabila)
Nikaja kukutana nae mwaka mmoja baadae huyo dada safari hii alikuwa anaitwa mama Sergio.. na Sergio ndio jina la mtoto aliyejifungua😅😅 nilijiuliza maswali mengi sana.
Kwa hivyo hapo hoja ya magharibi, mashariki, kusini au kaskazini, kwetu au kwa wageni, haina maana.Mkuu,
Kama umenielewa lengo si kukataa tamaduni zote za kimagharibi ndio maana nimetolea mfano wa Tik tok kwamba China wananyonya kwa kiasi kikubwa content hasi lakini nyingi wanaachia. Hivyo hivyo pia namaanisha sio kila maadili ya kimagharibi tunapaswa kuyapokea pasi na kujiridhisha kama ni mema! Mfano vitu mambo kama tohara hatuna budi kuyapokea na kuachana na ukeketaji.
Si kila jambo la kimagharibi ni baya vilevile si kila jambo la kimagharibi tunapaswa kulipokea! Mimi ni mfuasi mkubwa wa uchina,Korea na Japan! Naona kuna namna wapo serious na maadili yao kuliko sisi
Akili kumkichwa, haya!!!Mtego huo, 😂wingi wa pua si wingi wa kamasi
Sema nini kaka, huku mwanza Leo kuna mvua imenyesha sana mida fulani ya satano nikavuta chuchu nimegundua, kinachotaka kuniwahisha kuoa ni genye 😂Akili kumkichwa, haya!!!
Oyeah! That's it!Sema nini kaka, huku mwanza Leo kuna mvua imenyesha sana mida fulani ya satano nikavuta chuchu nimegundua, kinachotaka kuniwahisha kuoa ni genye 😂
Naona akili zimeanza kurudi baada ya genye kuisha after mdinyano ngoja niongeze miaka kadhaa ya kuoa
Sema,hii week nimekula mbususu tatu tofauti mpaka najiuliza hivi hawa ndo wa kuoa kweli demu kibumbu, kama flampeni yan mbususu, ishatumika kama ferry Za kigamboniOyeah! That's it!
Kataa ndoa kaka, Mimi nilianza Kama wewe mdogo mdogo nikaendelea kufanya utafiti mwishowe nikagundua kuwa ndoa ni ukatili mkubwa.
Kibumbu kimashatanuka kanakwamba anajamiia na mpenzi wa mnyama tembo.Sema,hii week nimekula mbususu tatu tofauti mpaka najiuliza hivi hawa ndo wa kuoa kweli demu kibumbu, kama flampeni yan mbususu, ishatumika kama ferry Za kigamboni