Aina nyingi za ngiri ama hernia zinatokea eneo la tumbo kati ya kifua na nyonga. Kwa watu wengi ngiri siyo tatizo linalohatarisha maisha japo ni tatizo lisiloisha lenyewe bila upasuaji ama dawa.
Ngiri inasababishwa na kulegea kwa misuli na kupelekea nyama za kiungo kimoja kuota na kusukuma ukuta kuelekea eneo lingine. Kutokana na chanzo husika cha hernia inaweza kuchukua muda mrefu sana kusambaa na kuleta madhara.
View attachment 3559997
Aina za ngiri
Aina kuu za ngiri ni kama ifuatavyo
- Ngiri ya tumbo: ambayo inahusisha eneo la tumbo la chakula na viungo vya uzazi
- Ngiri maji: kujaa kwa maji kwenye mapumbu ama korodani
- Ngiri ya kifua: inatokea eneo la umio la chakula(oesophagus)
- Ngiri ya kitovu: hii inatokea pale utumbo unapovuka na kueleke kitovuni.
Tib asili ya ngiri
Kwa utafiti wetu wa mda mrefu, tiba za kihindi zinaleta matokeo mazuri kutibu ngiri, busha na vimbe kwenye korodani. Jaribu hizi dawa uone matokeo yake. Unaweza kuagiza India moja kwa moja, ama ukapata kwetu kwa bei nafuu.
View attachment 3560387
Matumizi: Meza 2x2 asbhi na jioni, walau tumia dozi mbili kupata matokeo mazuri zaidi.
Tuandikie kwa namba 0678626254 ikiwa unataka hii tiba ya ngiri kabla ya upasuaji