Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Hahaha brightframe eti mwenye bukuu dahOyaa masela, kuna mwenye buku ya karibu hapo?
Mwanaka hii demu kwa demu wakiombanaShost niazime elfu kumi ntakupa kesho sweet akinitumia
Mwanaume kwa mke mhh nafikiria aina gani ya mzinga huoo ila dah labda papuchiVipi mizinga ya mwanaume kwa mwanamke?
Sahihi kabisa mkuuMwanaka hii demu kwa demu wakiombana
Kauzu 12 hiyo IPO aisee mwanaume kwa mwanaume ila mwanamke kwa mwanamke huu sio sanaaHii mada sijaielewa. Me nilizani mizinga wanaombana wanaume kwa wanaume au mwanamke kwa mwanamke...kumbe mwanamke anamuomba mwanaume... ila mwanaume anamuomba mwanaume mwenzie
Ipo buku ya mbali mwanangOyaa masela, kuna mwenye buku ya karibu hapo?
Hata me nilitaka kushangaa.. mpaka nafikia umri huu sijawai kuona mwanamke anampiga mzinga mwanamke mwenzieKauzu 12 hiyo IPO aisee mwanaume kwa mwanaume ila mwanamke kwa mwanamke huu sio sanaa
Kauzu wanawake hawapendani kwa kifupi tuu MkuuHata me nilitaka kushangaa.. mpaka nafikia umri huu sijawai kuona mwanamke anampiga mzinga mwanamke mwenzie