Hii ndio tofauti ya mizinga ya mwanaume na mwanamke

Hii ndio tofauti ya mizinga ya mwanaume na mwanamke

MWANAUME MWENZAKO AKIKUPIGA MZINGA UTASIKIA

1.mwanangu ehee unaweza nitoa buku nichukue msosi.

2.mwana ehee una jelo hapo tuagize kirobaa.

3.mwanangu. Ehee Leo hali mbaya nisaidie hata buku mbili nichukue msosi .

4.oyaa ehee una mia mbili hapo nichukue fegii kidogo.

MIZINGA YA MADEMU.

1.bby naomba hela kusuka nahitaji kama eflu 20.

2.my dear nadaiwa ya kodi

3.bby naomba hela ya umeme

Haya endelenii kutajaa
Baby naomba uninunulie iphone
Baby nnahamu na chips kuku na savanah
 
Nikope laki baada ya siku 3 nakurudishia ole wako umpe ***** umeisha
 
Best nisaidie elfu 50 kama unayo ntarudisha wiki ijayo nkipokea mchezo. Hapo mie huwa najiongeza tuu najua shosti kakwama namtoa kiaina.
 
Wanaume wanajua ugumu wa kutafuta pesa ndio maana wanakuwa fair....ila wanawake wanataka kukomoa kabisa.
 
Mwanangu nataka fungua biashara ntoe laki moja biashara ikisimama ntarudisha ahaaa[emoji2] [emoji2]
 
Oya mwana niungie buku nipate msosi niko ovyo kweli[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Unakuta nipo hospitalini nimelazwa (nna unafuu kidogo) nampigia simu demu wangu....

Me: Hi baby?! vipi...uko poa...mi nimelazwa hospitali

Yeye: Ooh sorry baby..dont worry utapona..NITUMIE ELFU 50 NIKUNUNULIE MATUNDA

[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] hapo ndio nashindwa kuwaelewa wanawake... mizinga hadi kwa mgonjwa???
 
Utakuta binti mwingine anakuomba Laki moja kwa ajili ya kusuka...Heee unaenda kufanyiwa operation ya kichwa au???
 
Baby, can we share your ATM password please?? ATM card yake iko kwa wallet yangu, wakat huo niko kifuani nacheza na garden love saut lainiiii kwa skio namnong'oneza then km namng'ata flani ivi , lazma atoe mjini shule shamba kilimo!!
 
Baby, can we share your ATM password please?? ATM card yake iko kwa wallet yangu, wakat huo niko kifuani nacheza na garden love saut lainiiii kwa skio namnong'oneza then km namng'ata flani ivi , lazma atoe mjini shule shamba kilimo!!


Aisee wewe
 
Back
Top Bottom