nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 934
Baby naomba uninunulie iphoneMWANAUME MWENZAKO AKIKUPIGA MZINGA UTASIKIA
1.mwanangu ehee unaweza nitoa buku nichukue msosi.
2.mwana ehee una jelo hapo tuagize kirobaa.
3.mwanangu. Ehee Leo hali mbaya nisaidie hata buku mbili nichukue msosi .
4.oyaa ehee una mia mbili hapo nichukue fegii kidogo.
MIZINGA YA MADEMU.
1.bby naomba hela kusuka nahitaji kama eflu 20.
2.my dear nadaiwa ya kodi
3.bby naomba hela ya umeme
Haya endelenii kutajaa
Baby nnahamu na chips kuku na savanah