Hii Ndio TOP 10 Yangu Ligi Kuu Tanzania Bara [VPL] 2019/2020..

Hii Ndio TOP 10 Yangu Ligi Kuu Tanzania Bara [VPL] 2019/2020..

Namungo atarudi alikotoka
Kuna timu nyingi tu mbovu, msimu uliopita zilibaki kwa bahati.
Mwadui
Biashara
Mbao
Coastal union
Singida
Ndanda
Wawe makini watarudi daraja la kwanza.
 
Ishu sio kupoteza, ni umepoteza na nani? Ruvu hakuwa na historia mbele ya Yanga.

Kifupi nilitaka kukuonesha kuwa zama zinabadilika na hatuna budi kubadilisha mitizamo yetu kama tunahitaji kusonga mbele.
Hujui soka,, unajua soko tena lile soko mjinga!
 
Mtoe YANGA pale kisha mweke KMC! Huyo YANGA mpeleke pale alipotoka KMC
 
Kuna timu nyingi tu mbovu, msimu uliopita zilibaki kwa bahati.
Mwadui
Biashara
Mbao
Coastal union
Singida
Ndanda
Wawe makini watarudi daraja la kwanza.
Singida Utd safari unamhusu
 
#Gwele
Coastal wamekuja vzr.. wakiendelea hv hata round ya 2 watakaa pazuri zaidi
 
Back
Top Bottom