Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namungo atarudi alikotokaPolisi na Namungo ni timu ambazo zitafanya vzr
Wilker amepona,mziki wake unatishaInatakiwa eneo la ushambuliaji liongeze umakini mkubwa.
Hatuna cha kupoteza
Hujui soka,, unajua soko tena lile soko mjinga!Ishu sio kupoteza, ni umepoteza na nani? Ruvu hakuwa na historia mbele ya Yanga.
Kifupi nilitaka kukuonesha kuwa zama zinabadilika na hatuna budi kubadilisha mitizamo yetu kama tunahitaji kusonga mbele.
Wewe mwenye kujua soka umechangia nini? Au unawashwa Masaburi?Hujui soka,, unajua soko tena lile soko mjinga!