Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

Drax001

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
443
Reaction score
228
WHATSAPP BOT
Ulimwengu wa Sasa matumizi makubwa ni ya artificial intelligence (robot) now Whatsapp Kuna robot maarufu kama Whatsapp bot.

BOT FEATURES
🤖 Auto View Status

👉Hii utaview status ata ukiwa offline tena just now😁

🤖Always Online
👉hii muda wote utaonekana active online ata Kam umezima sim au huna bando😂

🤖Virtual Typing/Recording
👉Hii ukitaka kuweka ili tu uwavuruge watu kama ni magroup yako utaonekana muda wote una type au una record audio mtu akituma text kumbe kijana wawatu umelala zako huna bando😁

🤖 Acces to chat GPT and Google
👉Hapa Utauliza swali lolote naitajibiwa kwausahihi🌝

🤖Group Management E.g Setting antilink and bot removes anyone who sends link, tag all, welcome etc🫣
👉Hii inasaidia ku handle group kwaurahisi kama ukiwa admin kufuta link zote zinazotumwa ata kama haupo online kutag watu wote kweny group ili waje kwaurahisi unapokuwa na tangazo la muhimu

🤖Download Songs (Both Audio and Video)
👉uta download music audio au video kuoitia Whatsapp yako

🤖 Features ni nyingi hzo ni basic pia Kuna kusev status sio unaumwambia mtu nitumie hii😂, kutengeneza logo, kuonesha picha au video uliotumiwa view once 😂
* And 300+ other features
Cost TSH 1000
 
Acha kuturusha boy ukitumia Whatsapp nyingine yyt kama sio official unapigwa ban
Kama iligoma kwenu poleni,,,,wengine bado inapiga ........na ndo ninayoitumia kwa sasa
20240331_122449.jpg
 
Hongera ila nakushauli acha kutumia mara Moja maana hiyo gb Whatsapp yako siku ikiomba ku update ndio mwisho wa acc yako yaani utakula ban la maana
Ban hazijaanza leo kijana , na hatujaanza kutumia hizo app leo , tunajua namna ya kwenda nao,,,matoleo yanayofata jamaa watafix tena na watu wengi watarudi tena Gb ,hizi ishu zao hawajaanza leo
 
Ban hazijaanza leo kijana , na hatujaanza kutumia hizo app leo , tunajua namna ya kwenda nao,,,matoleo yanayofata jamaa watafix tena na watu wengi watarudi tena Gb ,hizi ishu zao hawajaanza leo
Punguza kujitapa mkuu, wewe sio owner wa gb Whatsapp na the rest, kama hujafikiwa wewe tulia tu. Siku zina hesabika na wala hutokuja hapa jukwaani kutoa ushuhuda.
 
Kwani hamna utoto hapo? 😂😂 yan uset typing na huku ukiwa umelala zako? Si tutaona unamiliki cm mbovu
Nishamwambia hana akili,sasa nionekane online 24 hrs inanisaidia nini
Nilivyokuwa natumia GB wasap nilikuwa nmeset kuview status na ujumbe zilizofutwa tuu na nlkuwa sizijibu chcht ila mambo mengine yote yalifanana na wasap ya kawaida.

Hayo mengine ya kutype huku umelala na kuonekana online Saa 24 Sasa Ndo upuuzi wenyewe huo.
 
Back
Top Bottom