Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Uko sahihi mkuu Nokia83:Miss Tanzania ilikuwa imefikia level za kutoa mpk nyumba leo hii zawadi imeshuka zaidi ya 80%...inabidi waandaaji wajipange sn kwny zawadi
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaah kagari ka swalehe ka shule hako ... Manina walahi
Wanazngua sana hawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Happiness Magese pekeyake ndio alipata zawadi ya haki... NISSAN HARDBOARD BRAND NEWHii ni kashfa.Waziri wa sanaa na michezo ajipime!
Lile dude lina mchango wangu mkubwa tuDah!! kumbe mkuu uko front line!. Mi nipo Musoma now, ila xmonks walinipenyezea picha kadhaa tu, hawakunipa news zozote. Mkuu nitupie news inbobo basi. Ila kila nikiangalia lile dude alilojenga pale S.A huwa sipati picha yule jamaa alikuwa na mission na akili gani. Halafu akamuachia Master Hsing Yun kwa roho safi tu.
Na wengine hupata mimba tu za watu maarufuWengne wanapata AIDs
Sioni tatizo zawadi ni symbol tu angepewa hata mbuzi ingefaa piaToyota Cami
ama kweli vyuma vimekaza
[emoji2] [emoji2] we bwana Sasa naona una utaniHivi zawadi lazima liwe gari tu hawawezi kuwapa hata mattress au jiko la kutumia gas?
Huyo master ni nani? Anahusika na ishu gani tujisogeze mkuuMshana acha basi!!! Jana nimekaona wameshakaogesha na shampoo. Wakakapaka na mafuta.....coz sio kwa mng'ao ule!!!! Hahahaaaaa!!!!. By the way, unamfahamu Master Whei Li. Amekuja Bongo. Nadhani kuna mambo mazuri yako njiani, coz yule jamaa ni mpanda mbegu mzuri. Na ana watu wazito nyuma yake.
Kunako 2005, Sylvia Bahame alipewa Nissan Patrol Double cabin, Richa Adhia yule Mhindi nae alipewa kama hilo la Bahame, iweje huyu apewe used car?Happiness Magese pekeyake ndio alipata zawadi ya haki... NISSAN HARDBOARD BRAND NEW
Kwa huu usanii inabidi haya mambo tuyaweke kisheria ili kuwepo na standardsTulitegemea mabadiliko makubwa but mambo ni yale yaleView attachment 860805
Hapa chini ni gari lilitolewa na Diamond karanga
View attachment 861499
Mamybaby ndyo nani?
Kinglion nahisiKama miss TZ kapewa huu mkweche, mshindi wa pili na wa tatu wamepata zawadi gani?