Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

tatizo wadhamini, ingetakiwa wawape Nissan Tz au Toyota Tz ndio wawe wanatoa udhamini wa gari za hawa Miss,
 
Dah!! kumbe mkuu uko front line!. Mi nipo Musoma now, ila xmonks walinipenyezea picha kadhaa tu, hawakunipa news zozote. Mkuu nitupie news inbobo basi. Ila kila nikiangalia lile dude alilojenga pale S.A huwa sipati picha yule jamaa alikuwa na mission na akili gani. Halafu akamuachia Master Hsing Yun kwa roho safi tu.
Lile dude lina mchango wangu mkubwa tu
 
Mshana acha basi!!! Jana nimekaona wameshakaogesha na shampoo. Wakakapaka na mafuta.....coz sio kwa mng'ao ule!!!! Hahahaaaaa!!!!. By the way, unamfahamu Master Whei Li. Amekuja Bongo. Nadhani kuna mambo mazuri yako njiani, coz yule jamaa ni mpanda mbegu mzuri. Na ana watu wazito nyuma yake.
Huyo master ni nani? Anahusika na ishu gani tujisogeze mkuu
 
Happiness Magese pekeyake ndio alipata zawadi ya haki... NISSAN HARDBOARD BRAND NEW
Kunako 2005, Sylvia Bahame alipewa Nissan Patrol Double cabin, Richa Adhia yule Mhindi nae alipewa kama hilo la Bahame, iweje huyu apewe used car?
Au hali ya uchumi imekuwa ngumu?
 
thamani ya pesa imepanda sana,
thamani ya gari hilo ni sawa na magari yale zama zile.
 
Na mbwembwe zote kwenye matangazo mshindi kapata hii? Bora wangempa keshiii
 
Back
Top Bottom