Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Gari ndio ile ile seme imeoshwa...ile nyingine ilipigwa wakati haijaoshwa...lakini hii ndio gari ya kumpa miss tanzania kweli?

Ndio ni gari hiyo hiyo
Yaani inaonyesha vyuma vimekaza.. ila baada ya juzi ile Mwanza nilitegemea gari la kizaidi juu juu hata kidogo eeeh


Picha ya post #1 mchakachuo au sio hivyo.. ila lazima wataelezea
 
Wangechukua hata kontena moja pale bandarini akapewa hata sofa na trekta 1 ingependeza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…