Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Hivi nchi inakosa kutoa hata prado jamani ?
Mkuu prado kwa misele ya kawaida wesee sio chini ya 50 per day unatakab awaze kudanga au aipaki ? Kitu cha swift elfu nane mizunguko kibao[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ...
 
hii ni gharama ya gari alilopewa miss tanzania

Reference Number:17183017570

Make DAIHATSU

Model:TERIOS KID

BodyType:SUV

Year of Manufacture:2005

Country:JAPAN

Fuel Type PETROL

Engine Capacity:501 - 1000 CC

Customs Value CIF (USD):2,276.00

Import Duty (USD):569.00

Excise Duty (USD):0.00

Excise Duty due to Age (USD):853.50VAT (USD):709.76

Custom Processing Fee (USD):13.66

Railway Dev Levy (USD):34.14

Total Import Taxes (USD):2,180.06

Total Import Taxes (TSHS):4,983,858.44

Vehicle Registration Fee (TSHS):450,000.00

TOTAL
TAXES (TSHS):5,433,858.44

jumla yake ni kama milion 10

na hii chini ni gharama ya gari aina ya RACTIS ambalo lingeweza kuonekana bora kidogo kuliko hilo alilopewa miss tanzania


You are viewing Valuation Details of a 2006 TOYOTA RACTIS - HATCHBACK.

Reference Number:17183090307

Make:TOYOTA

Model:RACTIS

Body Type:HATCHBACK

Year of Manufacture:2006

Country:JAPAN

Fuel Type😛ETROL

Engine Capacity:1001 - 1500 CC

Customs Value CIF (USD):1,829.00

Import Duty (USD):457.25

Excise Duty (USD):114.31

Excise Duty due to Age (USD):685.88

VAT (USD):597.90

Custom Processing Fee (USD):10.97

Railway Dev Levy (USD):27.44

Total Import Taxes (USD):1,893.75

Total Import Taxes (TSHS):4,329,321.35

Vehicle Registration Fee (TSHS):450,000.00

TOTAL TAXES (TSHS):4,779,321.35

jumla yake ni kama milioni 8.5


kwahyo hapa tunaona kuwa kwa ni uchanguzi wa zawadi ndio umefanywa vibaya kwani kwa gharama ndogo kabisa ingeweza kupatikana gari yenye muonekano mzuri kuliko hyo iliyotolewa kama zawadi
 
Kwangu Mimi naona issue ni uchaguzi wa Gari tu, hilo Gari si chini ya milioni 10 ukiingia kwenye calculator ya TRA.


Issue ni waliochagua hilo gari walifanya makosa , Kama ningekuwa nini ningenunua hata brevis au Toyota premio , kwa hapa Dar kwa hiyo million 10 hizo Gari zingepatikana tu.



Anyway hongereni kwa shindano, Kupokea changamoto ni njia ya kufika mbali
 
Mbona lipo poa lilikuwa Garage pale maeneo ya external fundi akasema halina shida sana
 
hii ni gharama ya gari alilopewa miss tanzania

Reference Number:17183017570

Make DAIHATSU

Model:TERIOS KID

BodyType:SUV

Year of Manufacture:2005

Country:JAPAN

Fuel Type PETROL

Engine Capacity:501 - 1000 CC

Customs Value CIF (USD):2,276.00

Import Duty (USD):569.00

Excise Duty (USD):0.00

Excise Duty due to Age (USD):853.50VAT (USD):709.76

Custom Processing Fee (USD):13.66

Railway Dev Levy (USD):34.14

Total Import Taxes (USD):2,180.06

Total Import Taxes (TSHS):4,983,858.44

Vehicle Registration Fee (TSHS):450,000.00

TOTAL
TAXES (TSHS):5,433,858.44

jumla yake ni kama milion 10

na hii chini ni gharama ya gari aina ya RACTIS ambalo lingeweza kuonekana bora kidogo kuliko hilo alilopewa miss tanzania


You are viewing Valuation Details of a 2006 TOYOTA RACTIS - HATCHBACK.

Reference Number:17183090307

Make:TOYOTA

Model:RACTIS

Body Type:HATCHBACK

Year of Manufacture:2006

Country:JAPAN

Fuel Type😛ETROL

Engine Capacity:1001 - 1500 CC

Customs Value CIF (USD):1,829.00

Import Duty (USD):457.25

Excise Duty (USD):114.31

Excise Duty due to Age (USD):685.88

VAT (USD):597.90

Custom Processing Fee (USD):10.97

Railway Dev Levy (USD):27.44

Total Import Taxes (USD):1,893.75

Total Import Taxes (TSHS):4,329,321.35

Vehicle Registration Fee (TSHS):450,000.00

TOTAL TAXES (TSHS):4,779,321.35

jumla yake ni kama milioni 8.5


kwahyo hapa tunaona kuwa kwa ni uchanguzi wa zawadi ndio umefanywa vibaya kwani kwa gharama ndogo kabisa ingeweza kupatikana gari yenye muonekano mzuri kuliko hyo iliyotolewa kama zawadi
Usilolijua ni usiku wa giza
 
Hii ni aibu nyingine kwa Basata ,wizara na wadhamini wote wa hili shindano bila kumsahau mwenye shindano hili kwa sasa bi Basila mwanukuzi aiseeee hivi gari kama hilo ndio anapata mshindi kweli pamoja na wadhamini wote wale? Nafikiri hili shindano lina laana kabisa .....watu walitegemea makubwa sana kwenye hili shindano lakini ni aibu tupu kabisa kabisa.

Kuna kila sababu la kulifutilia mbali kabisa hili shindano....
Anzisha yako utoe zawadi ya prado.
Unadhani kwa usawa huu wa jpm kupata mdhamini ni kitu rahisi?TFF mpaka leo hawajapata mdhamini na haijulikani bingwa atapata zawadi gani
 
Walau wangekapiga maji basi
FB_IMG_1536483806945.jpg
 
Nimekuelewa ila yule miss Tanzania 2006 anachomiliki kwa sasa ni Utanzania usweatyheart na Makalio tu basi ila Akili na mali zote kaziacha huko nyuma .
hahahaa.... daahh ila hako kagari kama " Toyo
 
Back
Top Bottom