Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni bajaji model 2018 new brand CC 2 yenye matairi manne hiyo ni baada ya kufanyiwa update.hahahaa.... daahh ila hako kagari kama " Toyo
...kwani magari mengine siyo ya kawaida?Aisee mbona gari la kawaida sana hilo
Aisee mbona gari la kawaida sana hilo
....kwani magari mengine siyo ya kawaida?
[emoji23][emoji23][emoji23]halafu mmiliki anakaa kwa mtogoleTerios kid hiyo nahis itakua namba B
Huu umiss umepoteza thaman aise [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu mmiliki anakaa kwa mtogole
Wewe nae ni Miss?Aibu Naona Mimi
Sasa mkuu ukipewa 10m ukanunue gari ya miss Tz nawewe ukanunua kweli gari ya 10m, utaishije hapa mjini? Hiyo gari kwenye vitabu unaweza kuta imenunuliwa 15m..!Kwangu Mimi naona issue ni uchaguzi wa Gari tu, hilo Gari si chini ya milioni 10 ukiingia kwenye calculator ya TRA.
Issue ni waliochagua hilo gari walifanya makosa , Kama ningekuwa nini ningenunua hata brevis au Toyota premio , kwa hapa Dar kwa hiyo million 10 hizo Gari zingepatikana tu.
Anyway hongereni kwa shindano, Kupokea changamoto ni njia ya kufika mbali
Tatizo wazifa umebana sana,wadhamini hamnaHahahaha kichaa kaifanya nchi kuwa na mambo mengi sana ya kustaajabisha
Aisee inasikitishaHii hapa hebu angalia aibu hii View attachment 860871