Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Bei ya sun lg
bado haitoshi hata kununulia samsung S8+
IMG_20180909_133843_896.JPG
 
Duh! eeee bhana eeee !
auhisi kuna mkono wa mtu nyuma yake yani istoria yake katka haya mashindano ni kama ilipangwa ivii yani kwanza ki muonekano tuu anaonekana ni nyumbulest

sjui lkn ila mda ni mwamuzi
yani nimefedheeka hadi nkasaau icho ki babywolker
 
Mnataka tuwape gari kubwa pesa ya service na mafuta mtatoa nyie?
 
Jamani hii ni gari ya FUNDI wa gari ya Miss Tanzania au ndiyo ya Miss Tanzania!!
Sasa kama hawana uwezo si wangempa at a Vespa au Electric Motorbike mpya.
 
Kama hamjagundua haya mashindano ya walimbwende siku hizi nayo yameshakua zilipendwa
 
Mm nawalaum kwa nn hawakukaosha basi..[emoji57]
 
kwani shindano lilikuwa lini..............aise kweli niko mbali na dunia
 
Back
Top Bottom