Ushahidi kaja nao Luten Urio na umeomba mahakama ipokee kielelezo chake kama kwa utambzi.
Amefichua siri ovu ya Freeman A. Mbowe ya kutaka kuleta taharuki nchi nzima na kutaka kuchukua dola vyovyote vile. Alienda mbali zaidi kwa kufichua hila na njama za Mbowe za kutaka kudhuru na kushambulia viongozi wa serikali,kukata miti Morogoro to Iringa na kuchoma moto vituo vya mafuta(sheli). Serikali imempongeza sana kwa uzalendo wake kwani ukiachilia waliopigania taifa letu dhidi ya adui yetu Amin Nduli Dada,basi huyu ndio mfano mwingine wa uzalendo wa kuigwa. Pamoja na kuwa promoted kutoka Koplo wa VV hadi Luten wa ** hii ni zawadi ndogo kati ya zile kubwa atakazotunikiwa endapo tukio hilo litazimwa na wahusika kuishi maisha ya jela katika kipindi chao chote kilicho bakia cha maisha.