Hii ndiyo Agenda ya ACT-Wazalendo kumuombea Mbowe msamaha kwa Rais

Yawezekana wewe ni mpuuzi kati ya wapuuzi wachache waliopo nchini. Ushahidi upi wa Denis Urio unamtiaje Mbowe hatiani? Ushahidi kuthibitisha kua alipanga ugaidi ni upi zaidi ya maneno tu ya uongo? Aieleze mahakama kwa uthibitisho wowote kua walitaka kufanya ugaidi. Maana wale vijana aliowaita aliwaambia wanaenda kufanya kazi ya Ulinzi siyo ugaidi.
 
Zitto amewahi kumtetea Mbowe pindi Mbowe alipokuwa na tuhuma za kuuza Ngada, It seems Zitto anampenda Mbowe kwa sababu Mbowe alimtoa mbali
 
Nia ni kumfunga Mbowe bure na sasa nafsi zinawasuta.
Serikali ikiamua kumfunga Mbowe inamfunga tu hata kibabe na hakuna mtu anayeweza kufanya chochote.

Wanaojidanganya eti wacha kesi iendelee, inaweza kuendelea, na bado mahakama ikamfunga hata kama mnadhani kaonewa, Sasa mtaifanya nini serikali?

Ndiyo maana watu wenye hekima wanatafuta way out behind the scene!
 
Ushahidi wako na urio ausio usio na sms,voice note, wala chochote zaidi ya maneno ya kubwabwaja kama mtunzi wa hadithi
 
Hata makaburu walimfunga kwa lazima Mandela..kiliendelea nini?
 
Kuna mtu kakwambia anataka kupigana na serikali?.Watu wanataka haki itendeke hayo mengine ni upuuzi wako.kwahiyo punguza ujinga maana naona ujinga wako unazidi sana siku hizi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pole ndugu,
Kinachokutokea na kukutesa ni kama hilo jina lako. Yaonekana nawe pia umeamua kubumba mwenendo wa kesi ili labda uweze kujipunguzia stress. Kuukimbia ukweli ndio kunakokuletea hayo mahangaiko. Hakuna kesi hapo.
 
Nimenukuliwa vibaya sana leo ila mm cpo upande wa jamhuri kutokana na kuonyesha wazi wazi kesi hii ni studio. Na kama sio ya studio basi jamhuri wamekosa kuthibitisha tuhuma zao kwa Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…