Nyerere kama wengine tuu ni mengi tuu alizingua kama kiongozi mwingine yoyote, baba wa Taifa huwa ndio anae shape dira ya nchi yake sasa jiulize tupoje sasa hv??Confirmed : You have gone totally crazy..
Mbona Tundu Lisu ametoa kabisa clip akizungumzia maovu ya Nyerere na makosa katika utawala wake na yeye ni Takbir ?
#HunaAkili
Naona Oslo operaJamani eh tukubali tukatae watu waupe wametupiga gepu kubwa sana na tuna tuna safari ndefu kuwapata.
Ebu angalia Dubai alafu ujiulize Dar au Kampala zikija kufikia hatua hii itakuwa ni mwaka gani.
View attachment 2494991View attachment 2494992View attachment 2494993View attachment 2494994View attachment 2494995View attachment 2494997View attachment 2494998View attachment 2494999View attachment 2495000View attachment 2495001View attachment 2495002View attachment 2495004View attachment 2495005View attachment 2495006
Hayo ndio JPM akawa anatembea huko anayaona, na akagundua utajiri wao ni wizi wa mali za Africa ikiwemo Tz.Dubai tu unashangaa hivyo? Ukifika los Angeles, New York au shanghai si utatambaa kabisa
Naomba ufafanuzi zaidi unavyosema artificial inakua inamaanisha nn?Kaka Dubai ipo juu kwa majengo mapya na artificial architecture buildings!!!Lakini nikutake radhi LA ni na namba nyingine kwa utofauti wake kaka!!!!
Hauwezi kujua kila kitu kwenye hii dunia tunategemeana.Dubai watu weupe gani hao wavaa kobazi tu.
Hiyo miundombinu ni hela ya mafuta tu inafanya kazi.
Waliotunga michoro ,kujenga kusimamia ni wageni waajiriwa tu
Jamaa wako zao kwao wanacheza bao ,kula tende,biriyani ngamia na gahawa
Ucjali mkuuNaomba ufafanuzi zaidi unavyosema artificial inakua inamaanisha nn?
Watoto wao ufunzwa kutafuta pesa wangali wadogo.HAWA NDO WALITULETEA DINI MKUU, HUKU HATA KUPELEKA WATOTO SHULE MAAMUMA WANAONA NI DHAMBI
Dubai tu unashangaa hivyo? Ukifika los Angeles, New York au shanghai si utatambaa kabisa
DuuTangu tupate uhuru, baada ya mwalimu, akina JPM wangechukuwa usukani tungekuwa kama Dubai
mimi nabisha mtu mweusi hajapunjwa akili na umasikini siyo upungufu wa akiliMungu alimpunja akili mtu mweusi.
Anayebisha aje tubishane kwa hoja
Yesu alikuwa masikini hakuwa hata kibanda cha kulala je utasema alipungukiwa akili?Mungu alimpunja akili mtu mweusi.
Anayebisha aje tubishane kwa hoja
hao wazungu wana akili gani? mbona wanafirana na wanapigania haki za kufirana!!Mungu alimpunja akili mtu mweusi.
Anayebisha aje tubishane kwa hoja
Huwezi ifananisha New York na Dubai, Dubai ni kuzuri zaidi.Dubai tu unashangaa hivyo? Ukifika los Angeles, New York au shanghai si utatambaa kabisa
Tunasubiri kuiona Bukoba Kagera kuiona hiviJamani eh tukubali tukatae watu waupe wametupiga gepu kubwa sana na tuna tuna safari ndefu kuwapata.
Ebu angalia Dubai alafu ujiulize Dar au Kampala zikija kufikia hatua hii itakuwa ni mwaka gani.
View attachment 2494991View attachment 2494992View attachment 2494993View attachment 2494994View attachment 2494995View attachment 2494997View attachment 2494998View attachment 2494999View attachment 2495000View attachment 2495001View attachment 2495002View attachment 2495004View attachment 2495005View attachment 2495006
Wewe umefika DUBAI kweli haya ni maelezo fasaha kabisa. Ila SHARJAH huwezi kuilinganisha na Dar ni nzuri sana,sijajua umelinganisha sehemu ipi? kama ni Industrial areas sawa. Kwangu mimi sehemu unayoweza kuilinganisha na Dar ni AJMAN.Kwa ambao hamjawahi fika Dubai mnatakiwa kujua ule mji umegawanyika sehemu mbili. Kuna Dubai hii mpya inayoendelea kujengwa ambako ndo kuna lile jengo refu na majengo mengine mazuri ya kisasa. Zile hotel zenye Dolphins ziko upande huo. Dubai Mall pia iko huko. Picha za mleta uzi hiyo ni Dubai mpya. Matajiri kama Shilole na Kajala mdo hufikia huko.
Pia kuna Dubai ya kizamani huko Deira na Sharjah. Pale Deira ndo sisi choka mbaya huwa tunafikia. Hoteli hata kwa Tsh 70k unapata. Na kuna apartments zilizokodishwa na wabongo ambazo nao wanatulaza sisi kama vile wanafunzi kwenye madeka. Ni bei nafuu sana. Wanachaji kama Dirham 150 kwa wiki. Kimsingi huu upande wa swekeni maisha ni marahisi. Ili twende sawa na watoto wa kishua huwa tunaenda kule Dubai mpya na kupiga picha za kutosha kwa ajili. Pamoja na Deira kuwa sweken bado ni pa moto mno... pasafi hatari hakuna vumbi kabisa. Soko la vito vya dhahabu ndo liko huko Deira (Gold souk). Hata maduka ya simu mengi ya bei rahisi unayakuta Deira. Kimsingi hili ni eneo la wafanyabiashara waliofuata mizigo. Ukitaka bata panda taxi nenda mitaa ya Burj Khalifa.
Sehemu ambayo utaona uchafu na kujihisi upo bongo ni Sharjah maeneo wanapouza computer used. Mnaotaka kwenda Dubai msiogopeshwe. Ukiwa na milioni zako 3 unaenda na kurudi kwa raha zako. Milioni 3 inakava nauli, malazi na msosi.
Hujui lolote Mkuu.Ukisema modern city una maana gani?
. Behind those few tall structures , Dubai has nothing special ni kama Cairo tu.
Kamwe usiiweke dubai na New York sentensi moja
Hujazungumzia watoto wa kiarabu, ili akili iliseti kuwa kweli upo huko.Kwa ambao hamjawahi fika Dubai mnatakiwa kujua ule mji umegawanyika sehemu mbili. Kuna Dubai hii mpya inayoendelea kujengwa ambako ndo kuna lile jengo refu na majengo mengine mazuri ya kisasa. Zile hotel zenye Dolphins ziko upande huo. Dubai Mall pia iko huko. Picha za mleta uzi hiyo ni Dubai mpya. Matajiri kama Shilole na Kajala mdo hufikia huko.