Hii ndiyo Dubai bwana

Hii ndiyo Dubai bwana

Confirmed : You have gone totally crazy..

Mbona Tundu Lisu ametoa kabisa clip akizungumzia maovu ya Nyerere na makosa katika utawala wake na yeye ni Takbir ?

#HunaAkili
Nyerere kama wengine tuu ni mengi tuu alizingua kama kiongozi mwingine yoyote, baba wa Taifa huwa ndio anae shape dira ya nchi yake sasa jiulize tupoje sasa hv??
 
Dubai tu unashangaa hivyo? Ukifika los Angeles, New York au shanghai si utatambaa kabisa
Hayo ndio JPM akawa anatembea huko anayaona, na akagundua utajiri wao ni wizi wa mali za Africa ikiwemo Tz.
MUNGU si Juma akapewa madaraka, akasema ana ndoto na wao waje kushangaa Tz kama mnavyo washangaa hapa leo hii, akaanza maamuzo ya waliofanya hao wenzenu wakafikia hapo walipo leo, jwa vile mnapenda kusifia pasipo kuchimbua mzizi wa nini walifanya wakafika hapo mkaishia mzodoa na kutusi mzee wa watu.

R.I.P Chuma
 
Dubai watu weupe gani hao wavaa kobazi tu.
Hiyo miundombinu ni hela ya mafuta tu inafanya kazi.
Waliotunga michoro ,kujenga kusimamia ni wageni waajiriwa tu
Jamaa wako zao kwao wanacheza bao ,kula tende,biriyani ngamia na gahawa
Hauwezi kujua kila kitu kwenye hii dunia tunategemeana.
Kubali tuu wako vizuri kwenye kusimamia rasilimali zao na matunda tunayaona.
Hivyo n wazi wako juuu zaidi yetu.
 
Mnapenda kupost miji ya watu ila mnawapiga vita viongozi wenu wanaotaka kuijenga.
 
HAWA NDO WALITULETEA DINI MKUU, HUKU HATA KUPELEKA WATOTO SHULE MAAMUMA WANAONA NI DHAMBI
Watoto wao ufunzwa kutafuta pesa wangali wadogo.
Hakuna maendeleo yeyeto bila kumshirikisha Mzungu.
Waafrika tulibugi kudai UHURU tungedai usawa.
 
Tangu tupate uhuru, baada ya mwalimu, akina JPM wangechukuwa usukani tungekuwa kama Dubai
Duu
To me Jpm hakuwahi kuwa kiongozi bora!
Katawala miaka sita tu , bunge alifamya mali yake mahakama zikawa butu na makundi ya kikabila yakaanza ,mixer upendeleo wa waziwzai kwa watu wa inner cycle yake .
Ili upate maendeleo na ustawi mzuri wa jamii , democracy ni kitu cha kwanza kwa jamii, Raia wanapokuwa huru ndio wanaweza kufanya maendeleo
 
Kwa ambao hamjawahi fika Dubai mnatakiwa kujua ule mji umegawanyika sehemu mbili. Kuna Dubai hii mpya inayoendelea kujengwa ambako ndo kuna lile jengo refu na majengo mengine mazuri ya kisasa. Zile hotel zenye Dolphins ziko upande huo. Dubai Mall pia iko huko. Picha za mleta uzi hiyo ni Dubai mpya. Matajiri kama Shilole na Kajala mdo hufikia huko.

Pia kuna Dubai ya kizamani huko Deira na Sharjah. Pale Deira ndo sisi choka mbaya huwa tunafikia. Hoteli hata kwa Tsh 70k unapata. Na kuna apartments zilizokodishwa na wabongo ambazo nao wanatulaza sisi kama vile wanafunzi kwenye madeka. Ni bei nafuu sana. Wanachaji kama Dirham 150 kwa wiki. Kimsingi huu upande wa swekeni maisha ni marahisi. Ili twende sawa na watoto wa kishua huwa tunaenda kule Dubai mpya na kupiga picha za kutosha kwa ajili. Pamoja na Deira kuwa sweken bado ni pa moto mno... pasafi hatari hakuna vumbi kabisa. Soko la vito vya dhahabu ndo liko huko Deira (Gold souk). Hata maduka ya simu mengi ya bei rahisi unayakuta Deira. Kimsingi hili ni eneo la wafanyabiashara waliofuata mizigo. Ukitaka bata panda taxi nenda mitaa ya Burj Khalifa.

Sehemu ambayo utaona uchafu na kujihisi upo bongo ni Sharjah maeneo wanapouza computer used. Mnaotaka kwenda Dubai msiogopeshwe. Ukiwa na milioni zako 3 unaenda na kurudi kwa raha zako. Milioni 3 inakava nauli, malazi na msosi.
Wewe umefika DUBAI kweli haya ni maelezo fasaha kabisa. Ila SHARJAH huwezi kuilinganisha na Dar ni nzuri sana,sijajua umelinganisha sehemu ipi? kama ni Industrial areas sawa. Kwangu mimi sehemu unayoweza kuilinganisha na Dar ni AJMAN.
Hata DEIRA ina mitaa mizuri kuliko Dar, jaribu kuiwazia BANIYAS na UNION ni ya moto mno.
 
Ukisema modern city una maana gani?
. Behind those few tall structures , Dubai has nothing special ni kama Cairo tu.
Kamwe usiiweke dubai na New York sentensi moja
Hujui lolote Mkuu.
 
Kwa ambao hamjawahi fika Dubai mnatakiwa kujua ule mji umegawanyika sehemu mbili. Kuna Dubai hii mpya inayoendelea kujengwa ambako ndo kuna lile jengo refu na majengo mengine mazuri ya kisasa. Zile hotel zenye Dolphins ziko upande huo. Dubai Mall pia iko huko. Picha za mleta uzi hiyo ni Dubai mpya. Matajiri kama Shilole na Kajala mdo hufikia huko.

Pia kuna Dubai ya kizamani huko Deira na Sharjah. Pale Deira ndo sisi choka mbaya huwa tunafikia. Hoteli hata kwa Tsh 70k unapata. Na kuna apartments zilizokodishwa na wabongo ambazo nao wanatulaza sisi kama vile wanafunzi kwenye madeka. Ni bei nafuu sana. Wanachaji kama Dirham 150 kwa wiki. Kimsingi huu upande wa swekeni maisha ni marahisi. Ili twende sawa na watoto wa kishua huwa tunaenda kule Dubai mpya na kupiga picha za kutosha kwa ajili. Pamoja na Deira kuwa sweken bado ni pa moto mno... pasafi hatari hakuna vumbi kabisa. Soko la vito vya dhahabu ndo liko huko Deira (Gold souk). Hata maduka ya simu mengi ya bei rahisi unayakuta Deira. Kimsingi hili ni eneo la wafanyabiashara waliofuata mizigo. Ukitaka bata panda taxi nenda mitaa ya Burj Khalifa.

Sehemu ambayo utaona uchafu na kujihisi upo bongo ni Sharjah maeneo wanapouza computer used. Mnaotaka kwenda Dubai msiogopeshwe. Ukiwa na milioni zako 3 unaenda na kurudi kwa raha zako. Milioni 3 inakava nauli, malazi na msosi.
Hujazungumzia watoto wa kiarabu, ili akili iliseti kuwa kweli upo huko.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom