Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Ilikua mwaka 2001 katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Ililikua Fainali ya Kombe la Castle. Stars ilishinda 3-1 dhidi ya majirani zetu Harambee Stars. Siku hiyo Stars waliupiga mwingi sana, support ilikuwa kubwa sana kutoka kwa mashabiki walioujaza Uwanja wa Kirumba.
Magoli ya Stars yalifungwa na Yusuph Macho "Musso", Emmanuel Gabriel bila kusahau goli la tatu ambalo lilikua fataki kutoka mita 40 toka kwa Salvatory Edward Agustino " Docta". Goli pekee la Kenya lilifungwa na Robert Mambo. Kipindi hicho kenya ilikua na nyota kadhaa kama Robert Mambo (Gent, Belgium), Mussa Otieno (Santos, SA), Simeon Mulama (Ismaily, Misri), Mark Sirengo.
Kikosi cha Stars
PETER MANYIKA
MECKY MEXIME
ALPHONCE MODEST
BONIPHACE PAWASA
JOHN MWANSASU
WAZIRI MAHADHI (ALIUMIA AKAINGA SELEMANI MATOLA)
SAID MAULID
SALVATORY EDWARD
JOSEPH KANIKI (ALITOKA AKAINGIA EMMANUEL GABRIEL)
YUSUPH MACHO
NTEZE JOHN
Mpaka leo bado sijaona game ya Stars iliyofikia kiwango hiki cha 2001 kikosi kilichokua chini ya Marehemu Syllersaid Mziray.