Hii ndiyo game pekee ya Taifa Stars iliyokula kiingilio changu kihalali

Hii ndiyo game pekee ya Taifa Stars iliyokula kiingilio changu kihalali

2001 Stars haikuwa bingwa.

Labda unaongelea CECAFA ya 2002 ,Fainali ilifanyikia Mwanza. Kenya wakaifunga Taiga stars ya kina Pawasa 3-2. Kenya wakawa mabingwa.

Conclusion. Tanzania haikushinda 2001 wala 2002
Hii game naikumbuka nilikuwepo kiwanjani Kirumba nakumbuka goli la ushindi la Kenya tulifungwa na Dennis Onyango baada ya kumzidi ujanja beki Lubigisa Madata
 
Hii game naikumbuka nilikuwepo kiwanjani Kirumba nakumbuka goli la ushindi la Kenya tulifungwa na Dennis Onyango baada ya kumzidi ujanja beki Lubigisa Madata
Zamani palikuwa Na Castle Na CECAFA. Castle Tz ilichukua 2001. CECAFA Tz ikapigwa 2002
 
Back
Top Bottom