Hii ndiyo game pekee ya Taifa Stars iliyokula kiingilio changu kihalali

Huwa tunashangaaga jinsi mnavyobishanaga na sisi, hahahahahahaha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haimaanishi kuwa mkongwe ndo kujua kila kitu.Jambo zuri ambalo wakongwe mmefaidi kipindi chetu mmeshuudia live wachezaji wazuri wa kibongo sisi tumeishia kusimuliwa wachezaji Kama Mohamed Hussein "Macho" ,Lunyamila, Mohamed kizota n.k ila sisi tumekutana na kizazi ambacho viwango vyao vinakuzwa na magazeti.
 
Malizia na neno super coach
Sent using Jamii Forums mobile app
 
2001 Stars haikuwa bingwa.

Labda unaongelea CECAFA ya 2002 ,Fainali ilifanyikia Mwanza. Kenya wakaifunga Taiga stars ya kina Pawasa 3-2. Kenya wakawa mabingwa.

Conclusion. Tanzania haikushinda 2001 wala 2002
 
bingwa alikua nani ? na mashindano yalifanyika wapi
 
bingwa alikua nani ? na mashindano yalifanyika wapi
2001 mashindano
Host:Rwanda

Final Ethiopia akampiga Kenya 2-1

2002 mashindano

Host Tanzania.
Final. Kenya kampiga Tanzania 3-2
Bingwa Kenya
 
2001 Stars haikuwa bingwa.

Labda unaongelea CECAFA ya 2002 ,Fainali ilifanyikia Mwanza. Kenya wakaifunga Taiga stars ya kina Pawasa 3-2. Kenya wakawa mabingwa.

Conclusion. Tanzania haikushinda 2001 wala 2002

mashindano yalijumuisha timu 4. na pia mashindano yalifayika mikoa miwili Arusha na Mwanza.
Arusha walihost game za awali (nusu fainali), Mwanza wakahost game ya fainali na game ya mshindi wa tatu.

Starz nusu fainali ilicheza na Congo DRC na game ikaisha 2-2 wakaenda mikwaju ya penalt ambapo starz ilishinda.. Tena hii game stars ilichomoa dakika ya 88 kupitia Nteze John ambaye pia alifunga goli la kwanza.

sasa mkuu tueleze hayo mashindano yako ya 2001 ya Castle cup nani alikua bingwa na yalifanyika wapi
 
2001 mashindano
Host:Rwanda

Final Ethiopia akampiga Kenya 2-1

2002 mashindano

Host Tanzania.
Final. Kenya kampiga Tanzania 3-2
Bingwa Kenya

Mkuu hivi unajua huu UZI unahusu mashindano gani??
 
Daah kwa vipaji vya Nteze,Macho,salva,Modest nasikitika mpira wao kuishia Tanganyika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…