Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Wasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho

Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro hivi unajua hili ni jukwaa la nini?
Je wewe unahisi kumjadili mtu kwa mafanikio aliyofikia ni dhambi?
 
Wasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho

Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Una stresses pole sana mkuu..
 
Namuonea sana huruma Diamond Platnumz. Anajaribu kuprove point kwa watu ambao hawako kwenye mashindano nae. Jamaa akifilisika hapo mbele sintoshangaa. Eti hoteli Mikocheni🤣🤣🤣. Aya bana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond hawezi kufilisika yule, Hotel Mikocheni atapiga hela mzee maana jina tu ni brand tayari, atapiga hela kwenye hiyo hotel hadi mtashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…