Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
- Thread starter
- #41
Jamaa yupo chief..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yupo chief..
Ila. Litapita Barabara Zipi? Buza Kwa Lulenge au Tandale Kwa Tumbo Road? au Wazo Madale Road penye Gari za Cement?Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo..
So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Litaendeshwa angani?! Halitakaa foleni kwenye mataa etc. Kama No, basi ni sawa na IST yangu tu Ushamba umezidi?!
Usichekeshe aliyekuambia gari zenye usukani mkono wa kushoto tz hazipo ni nani mkuualafu mbona hii picha ya gari ni left hand?kwa barabara zetu left hand sio.hau labda ni picha tu ya mfano?
king ni mmoja tu nae ni simba.simba ni simba tu anao uwezo wa kumla tembo ama mnyama yeyote yule
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni wa kukurupuka.mimi huyu nimesema hazipo ?.embu nionyeshe ilo neno hazipo nimeandika wapi?Usichekeshe aliyekuambia gari zenye usukani mkono wa kushoto tz hazipo ni nani mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena mkuuMaisha ya duniani ni mafupi sana,hivyo ukipata nafasi ya kuishi maisha ya raha kama Haya huna budi kuyaishi hasa.acha kijana aburudike na aishi maisha ya ndoto yake,hongera kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania Sasa Kama yeye kaiona mwanza una bisha!!!...Yule jamaa DGE anayo aina gani tenaLabla Cresta mzee..
Naomba nikurekebishe kidogo,Gari za kupewa na kununua Zina utofauti kidogo!!!...umeona hammer aliyokua nayo Gwajima ni left hand kwasababu alipewa lakini kuna zilizopo hapa sana sana mwanza na Arusha ni right hand!!!...Gari ya kutoa order kiwandani nadhani utawaambia unataka right hand!!!...kuna mtu anaitwa DGE nadhani huyu Ana magari mengi ya Ulaya hata kina bakressa lakini nyingi ni right handwewe ni wa kukurupuka.mimi huyu nimesema hazipo ?.embu nionyeshe ilo neno hazipo nimeandika wapi?
weekend iliyopita kuna mzee ni jirani aliniomba nimfatie gari yake gereji ni jeep grand cherokee left hand.
mfumo wa ukaaji wa stering za magari.kuna nchi barabarani zinatumia kushoto na kuna nchi zinatumia kulia.sasa unapo agiza gari unaagiza kulingana na aina ya barabara ya nchi husika.
ila apendavyo mtu unaweza agiza gari ya left hand wakati nchi yako barabara ni kulia.ni maamuzi ya mtu pia.ila kwa tanzania gari nyingi mfumo wa stering ni kulia.kushoto zipo ila si nyingi kama za kulia.
kama unafahamu mambo ya magari uatakuwa umeelewa nadhani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond hawezi kufilisika yule, Hotel Mikocheni atapiga hela mzee maana jina tu ni brand tayari, atapiga hela kwenye hiyo hotel hadi mtashangaa
moja kati ya changamoto za left hand ni ku over take.hasa kwa sisi wapenda mbio ni shida sanaNaomba ni
Naomba nikurekebishe kidogo,Gari za kupewa na kununua Zina utofauti kidogo!!!...umeona hammer aliyokua nayo Gwajima ni left hand kwasababu alipewa lakini kuna zilizopo hapa sana sana mwanza na Arusha ni right hand!!!...Gari ya kutoa order kiwandani nadhani utawaambia unataka right hand!!!...kuna mtu anaitwa DGE nadhani huyu Ana magari mengi ya Ulaya hata kina bakressa lakini nyingi ni right hand
Mapambano mengi makubwa aliopigana Floyd Mayweather alikuwa akiweka oda lakini nawasi wasi na hili la domo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] litakuwa la mtumba yani used sio kutoka moja kwa moja kiwandani tena nahisi atakuwa kanunua hapo SA, Juzi tu hapa Mzee wangu meek mill aliuza lake kwajili ya kusaidia kuchangia serikali dhidi ya mapambano ya corona huko maandishi matatu (USA)Nasikia hutengenezwa kwa oda maalumu. Yaani huwezi likuta showroom. Unaagiza wakutengenezee.
Hakuna changamoto ikiwa ni mzoefu wa magariyap nakubaliana na ww.kwa hapa bongo mtu huwezi agiza gari ya left hali ya kuwa huku kwetu ni kulia.
otherwise labda iwe ya msaada ama kupewa.moja kati ya changamoto za left hand ni ku over take.hasa kwa sisi wapenda mbio ni shida sana
Sent using Jamii Forums mobile app