Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipo. Wanalo wale jamaa wa Tilapia Hotel, ingawa ni model ya nyuma kidogo!Mbona niliwahi kuona gari la hivyo Mwanza.
Kweli kaka, magari kama 5 hivi yapo pembeni ya ufukwe wa Ziwa Victoria.Lipo. Wanalo wale jamaa wa Tilapia Hotel, ingawa ni model ya nyuma kidogo!
Ingekuwa sijaliona ningemsapoti anayeponda. Lakini nililipiga picha, ingawa sijajua nimeiweka wapi. Ngoja niisake. Ina namna AMP nadhaniKweli kaka, magari kama 5 hivi yapo pembeni ya ufukwe wa Ziwa Victoria.
Sijui kama yanafanya kazi yale magari au yamekufa na yapo pale kama mapambo.Ingekuwa sijaliona ningemsapoti anayeponda. Lakini nililipiga picha, ingawa sijajua nimeiweka wapi. Ngoja niisake. Ina namna AMP nadhani
Hii hapa Rolls Royce ya Mwanza kaka. Nimefukua kwenye library na kuipata!Sijui kama yanafanya kazi yale magari au yamekufa na yapo pale kama mapambo.
Asante sana mkuu nilikuwa nadhani macho yangu yalinidanganya.Hii hapa Rolls Royce ya Mwanza kaka. Nimefukua kwenye library na kuipata!
Uliona gari sahihi. Kwa hiyo anayesema hakuna Rolls Royce Tanzania hajasema ukweli, ama hajalionaAsante sana mkuu nilikuwa nadhani macho yangu yalinidanganya.
Ndiyo hii hii niliona.
pole mkuu, stress bongofleva imekupiga chiniWasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho
Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake
Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuu, stress bongofleva imekupiga chini
Lipo kubwa tu, tafuta psychotherapist, una shida kwenye hiyo ubongo yako, stress!
Walifilisika wakina Mike Tyson itakuwa yeyeDiamond hawezi kufilisika yule, Hotel Mikocheni atapiga hela mzee maana jina tu ni brand tayari, atapiga hela kwenye hiyo hotel hadi mtashangaa
Huwezi kulinganisha miaka 16 nyuma na sasa ndugu, to a mifano hai
Nyinyi ndo wale mliodeki barabara ili Lowasa apite, akili mlishazinya