Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo..

So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,


94443861_1107596089616887_4314303565184106496_n.jpg


95125762_280546476280188_7668589340217311232_n.jpg


94658162_1085087611859234_1859997709939769344_n.jpg


94640992_1369527053242280_3872161180554362880_n.jpg


95222650_593717371505998_2662903105321959424_n.jpg
Kweli pesa ni uchizi

Jr[emoji769]
 
King Kiba anamiliki Larmboggini na Bugatti

na juzi alipita ana drive Tesla toleo jipya,tena bulletproof na wala hajui kuringa
 
Hatari Sana , kijana amefanikiwa , ushauri tu amkumbuke muumba wake siku za ujana wake
 
Ukiwa hai jitahidi utafute uishi vizuri na kula bata sana. Kifupi usife kinyonge...
 
Back
Top Bottom